Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Usichojua kuhusu waajemi ni bora wapigane wenyewe kuliko wewe uwaingilie.
Hiyo ipo kihistoria.
Kosa alilofanya USA ni kumuua Khamenei ni kosa kubwa sana,limewaunganisha 90% ya waIran,nenda hata sasa hivi katizame mitandaoni waIran wanaimba "Death for Trump death for Israel Avenge Khamenei".
Boluchistan fighters ambao wanakinzana na serikali wameomba kuungana na IRGC wapigane dhidi ya USA.
US wamefanya kosa la kipumbavu sana kumuua kiongozi wa dini. Vita imechukuliwa kidini zaidi.
Mkuu hapa tunajadili tunachokiona. Kama kuna mnachokionq huko sisi hatukioni kileteni. Iran anakula kichapo dunia nzima inashuhudia kama Israel ndio anaekula kipondo leteni hapa tujadili dunia hii sio ya 1947.Mkuu kuna watu hawajajua ubora wa Marekani na Israel kwenye kuminya taarifa linapokuja suala la vita. Na hapa kwa kutumia media zao kubwa watataka dunia nzima ione madhara ya vita kwa adui zao tu nasio kwao.
Tatizo ni uminywaji wa habari mkuu.Mkuu hapa tunajadili tunachokiona. Kama kuna mnachokionq huko sisi hatukioni kileteni. Iran anakula kichapo dunia nzima inashuhudia kama Israel ndio anaekula kipondo leteni hapa tujadili dunia hii sio ya 1947.
Mkuu nilichosema ni kuwa Israel ikishambuliwa hakuna atayeweza kuzuia video au picha isitoke. Wanaorecord matukio ni watu na simu zao.Kwahyo unakataa kwamba Israel na Marekani hawaminyi habari zao, ili mbona hadi mitandaoni limezungumziwa sana. Au unafikiri kwamba hatujui hii tabia ya Israel hajaanza Leo.
Tqngu juzi mashambulizi yamepungua. Kwanza tuliambuwa wanafuturu,wakasema bado wanasubiri wale daku. Siku ikaisha sasa wachambuzi wetu wa JF wanasema hio ni strategy wanaacha wapigweee hadi silaha za US ziishe wao ndio wataanza.
Yaani utadhani hela anatoa yeye. Huvi hajua kuwa matajiri wakubwa wengi wa dunia ni wayahud?Hiyo ni kawaida
Vita ni gharama kubwa
Ila uhai wa raia wako ni gharama kubwa zaidi
Mkuu ulimwengu wa sasa huwezi kuzuia habari. Wanaorecord makombora ya Iran yakitua Israel Ni WaIsrael, unafikiri hao WaIsrael wameweza vipi kusambaza hizo video?Tatizo ni uminywaji wa habari mkuu.
King faisal anachanganya mambo, huwezi kuzuia habari watu wasisambaze. Hivi anafikiri wanaorecord makombora ya Iran yakipiga Israel ni watu gani? Mtu kakaa ndani kwake dirishani anachukua video palikopigwa anaenda kushare telegram, hao utamzuiaje?Mkuu hapa tunajadili tunachokiona. Kama kuna mnachokionq huko sisi hatukioni kileteni. Iran anakula kichapo dunia nzima inashuhudia kama Israel ndio anaekula kipondo leteni hapa tujadili dunia hii sio ya 1947.
Wewe ni miongoni mwa watu niliowapuuza PLEASE USINI QUOTE.Uongo. Wairan wanafuraha sana. Hawajaungana na kumuua kumeonesha nguvu ya Israel katika hilo.
Mkuu utapokoea matusi mda sio mrefu hii kauli wengi hawapendi kuisikia.UN si ndio haohao Marekani au Mimi ndio sielewi?
Iran ajitetee tuu asife kikondoo. Kupigwa atapigwa ila ahakikishe naye anamtia hasara adui yake
Hata asiporipoti haiondoi kichapoWe unademka kwa furaha wenzio wanauana huko! hapo raha kabisa reporter bandia wa kiyahudi!!!!!!
Ukiandika uongo sheikh wangu nitakuambia tu. Watu tupo kwenye majonzi Khayatollah kauawa na hali ya Irani ni mbaya wewe unaleta propaganda za kitoto.Wewe ni miongoni mwa watu niliowapuuza PLEASE USINI QUOTE.
Achana naye kakaMkuu mimi unataka nifanye nini ikiwa wenyewe wameamua kupigana?
Acha wapigane
Kwahiyo wa Iran hawapigi tena eeh👍💥💥💥💥
Jeshi la Israel limeruhusu baadhi ya shughuli kuanza ndani ya Israel ikiwemo biashara na mikusanyiko ya watu
Kuwafuta Iran uongo. Hapa ni kusubiri tuone muda ukiongea.Hata asiporipoti haiondoi kichapo
Walitaka kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia
Wanafutwa wao sasa
Iran wamepunguza mashambulizi, hayafanywi tena mara nyingi. Yale yanayofanyika yanakua kwenye wimbi dogo(short wave ya makombora matatu, au matano ambayo yanakua intercepted)Kwahiyo wa Iran hawapigi tena eeh👍