MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Huna Akili hiyo habari Ina mpaka video clip ya Secretary wa white house akiwa ana ongea kwenye press conference na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya USA , maongezi yote Yana sikikaUshaanza tumia media za kibongo kupata taarifa zako😀 kama ni nyingine sawa ila hizi ambazo watangazaji ni kina zembwela 😁
Iran hawapoi 😁😁JUST IN: 🚨🇮🇷🇮🇱
Iran says it targeted Israel's Ben Gurion Airport and Airbase 27 with Khorramshahr-4 missiles.
Kwa China USITUDANGANYE.Binafsi nimeamini Marekani kashindikana, ndo maana China kaona isiwe shida Taiwan iendelee tu ilivyo ila isiwe nchi
😁😁Acha uongo Hakuna kitu kama hicho kama ni mkweli tuwekee jengo lolote la uwanjani tuone kama limepigwa!!
Najua huwezi kuweka maana halipo wewe mwenyewe unateswa na mahaba tu ndiyo maana unabwabwaja ovyo.
Kuhusu uwanja wamefungua mchana huu watu wanaingia na kutoka ingawaje kwa idadi ndogo, nenda kawadanganye Wafuga midevu na Majini wenzako tu.
Tatizo lenu mnalazimisha Israel ipigwe wakati wa kuipiga hayupo!! Endeleeni kuteseka na Israel lakini Iran lazima apigwe!!
Kinachochanganya hawa jamaa wanalazimishwa waje mezani wanakataa.Hahah hata ingekuwa wewe full force alokuja nayo Marekani usingeweza
Hawaeleweki,wanalazimishwa mezani hawataki..Nilipokusoma mwanzo sikukuelewa. Ila kuna post ingine nimekusoma naona umeshakubali ndugu zetu Iran hali ni mbaya.
We bibi unaongea tu ila huna unalojua.Yet walifukuza cnn,bbc na hata al jazeera?
Jifariji,ni vizuri.
Kwa hiyo unaamini china Ina nguvu za Kijeshi compared to US?Kwa China USITUDANGANYE.
Kama USA ingekua inamuweza China basi ingemsaidia Ufilipino kuokoa visiwa vyake vilivyobebwa South China sea. Ufilipino ilimuomba USA ila waligoma.
Sera ya China sio kutumia mabavu.
Fake news. Rais wa Iraq alishampa ujumbe Iran kuwa kurdish fighters wamekataa kupigana na hawatovuka mpaka.Kurdish fighters cross into Iran as denials mount
Hundreds of Kurdish fighters launched ground activity inside Iran from the Iraqi border, Israeli and American officials confirmed to the Post. The strategic aim is to force Iran to divert security resources away from protesters in major cities. Tehran, the IRGC, and Kurdish officials in Iraq all denied the reports.
Naona sasa Iran wanampa mfupa mwingine angaike nao.
Lebanon serikali kuu hawana huo ubavu wanaongea tu.Mtu yoyote anayetaka CCM iondoke madarakani lazima aunge mkono hii operation dhidi ya Iran.
Lebanon wameamua kuwachukulia hatua IRGC wote ndani ya Lebanon
Lebanese Information Minister: Every Iranian Revolutionary Guard operative in Lebanon will be arrested!
Additionally, the Lebanese government is canceling the entry of Iranian citizens to Lebanon without a visa.
Sijakubali chochote bali nimeshangazwa.Na
Naona Pro Iran mmeanza kukubali
Mimi nafatilia sana hizi habari za Vita, nilipoona hii habari ya kupigwa ben gurion hapa nikasema ngoja niingie flight radar nione imekuaje imepigwa sikuona hiyo habariIran hawapoi 😁😁
China ina nguvu kijeshi kuliko USA.Kwa hiyo unaamini china Ina nguvu za Kijeshi compared to US?
💬 “If you look at the Epstein files it's clear that we are run by secret societies. You can call them Illuminati. The Illuminati are composed of three major groups,“ Jiang Xueqin, aka "Professor Jiang," believes.
💬 “They believe that Israel, this war in the Middle East, is key to the End Times in creating heaven on Earth.“
China na Urusi ni matapeli wamewatapeli Maduro na Iran kwa kuwa Ami sina I awapa AD za maana kuwatumia Israel matokeo yake sasa hivi wanapigwa kama Ngoma na anga lote la Tehran liko mikononi mwa Israel.Urusi yasema kuwa mpaka sasa haijapokea ombi lolote la kuomba msaada wa kijeshi kutoka Iran.
Lete facts na credible source.China ina nguvu kijeshi kuliko USA.
Kama unabisha nikupe true facts hapa.
Sawa myahudi wa kisemvuleMkivimbiwa Daku mnasumbua sana
Ayatollah alikuwa na ndoto kama za kwako
Dk ya kwanza kafia huko