Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wanashambulia kwa makombora eneo la kermanshah. Milipuko mikubwa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wanashambulia kwa makombora eneo la sarkeh hersar mashariki mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 

Attachments

  • 2026-03-05_21-01-34_0.mp4
    127.2 KB
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 

Attachments

  • 2026-03-05_21-01-37_1.mp4
    200.5 KB
Wamkatalie na Pedro Sanchez.
Safari hii Trump kakutana na majibu ya shombo mwenziye.
Eti haiwezekani mtu ashindwe kusimamia nchi yake huko!🀣🀣🀣

Oya nimeona Israel kapigwa thermobaric bomb huo moshi uliokusanywa sio poa.
Mtuelezee ni bomb aina gani hili.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ila hili jamaa lina dharau, kwamba kiongozi ajaye wa Iran ni lazima Trump ashirikishwe na amkubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…