Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hujajibu swali
Ila anyway mzee wa milipuko mikubwa tuko pamoja lete milipuko hiyo
Jamaa Israel ikishambulia , utasikia - "Israel na US waishambulia Iran muda huu. Mlipuko mkubwa sana" , subiri Iran ishambulie utaona "Iran waishambulia kwa makombora Israel" ....

Kiuhaisia ni kwamba.
Iran ndiye ana makombora yana warhead zenye explosive ya juu zaidi, 12 days war tuliona. Jamaa wakipiga moja mtaa mzima unatikisika kama tetemeko la ardhi.

Hali hii inapelekea wananchi wengi wanajificha ndani ya shelter, na wanaogopa, kikipigwa king'ora tu, wnakimbia ndani, hivyo wanaobaki nje ni wachache pengine hawapo.

Maana raia wanaogopa sana mashambulizi ya Iran.

Kingine ni serikali ya Israel kutumia police upande wa cyber, wakijua umerusha picha wanakutembelea.

Lakini Israel inapigwa sio poa, mashimo ya kutosha , majengo yamepigwa sio poa...
 
Jamaa anaumia kutangqza habari za kupgwa israel sema ndio hivyo anajikqza tu
 

Trump asks IRGC commanders, Iranian diplomats to step down​

The US president has called on Iranian diplomats at embassies around the world to defect and seek asylum.
Huyu mzee naona amechanganyikiwa sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv. Zimamoto wakiwa eneo la tukio kuzima Moto
King faisal
100 others
ITR
Driver proffesional
Mtanisamehe nimewatag sababu Leo siku nzima tulibishana kuwa watu awaruhusu kurusha matukio. Hao wapp zimamoto mtu anawarecord na amerusha video
 

Attachments

  • 2026-03-06_00-54-24_0.mp4
    5.8 MB
China moja kwa moja inadai kwamba Meja Jenerali Yoav Gallant ameuawa na shambulio la Iran lakini ni uongo mtupu.

Ninawasiliana na meneja wake na Bw. Gallant yuko hai, kwa kweli yuko hai sana kiasi kwamba yeye na Eylon Levy walitengeneza video hii pamoja.

Je, kila mtu anaweza kuongeza maoni haya niliyoongeza kwa kuyapenda na kuyachapisha tena?
 

Attachments

  • -5921713746451086285.mp4
    4.2 MB
  • IMG_5114.jpeg
    171.5 KB · Views: 11
Kule Pentagon wamemtarifu Trump Kuwa interceptor stock inapungua kwa kasi kama vita ikiendelea kwa siku 10.

Huku USA akiomba Msaada kwa Ukraine amsaidie drone za kudungua Drone aina ya Shahed za Iran 😁

Kumbuka: Drone Moja ya Iran inagharimu dollar 35K kuitengeneza, lakini hizo interceptor mpaka kuirusha inagharimu dollar 3M-4M, hapo USA anakula hasara kila siku.

Maoni yangu ni kwamba USA ameingia hii vita bila kufanya analysis ya kina alifikiri Iran ni dhaifu sana
, lakini jamaa wako full package wanaleta competition nzuri, na hii inaenda Kuwa aibu kubwa kwa USA.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: wanatakiwa kusalimu amri au wafe. Wananchi wa Iran wachukue nchi yao
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
CENTICOM: tulitumia ;-2 bombers kwenye mashambulizi huko Iran muda mfupi uliopita
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: wanadiplomasia wa Iran wachukue hati y ukimbizi, watasaidia kuijenga upya Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…