Hakuna kombola lililotua bila ving’ora na taarifa za mapema!!!Issue nyengine for the first time Leo makombora ya Iran yametua bila ving'ora, it means Radar nyingi hazifanyi KAZI.
Pia huko Iraq dau la dollar milioni 1 limetolewa atakayepeleka kichwa cha Yule rubani aliye eject.
Ben Gurion haijapigwa labda uombee kesho ipigwe!!So far kuna kampuni moja ya China ina satellite private inaitwa Mizarvision wao pekee ndio wanatoa Taarifa live za satellite so far, sema Wana deal na details za vita zaidi kuliko mambo ya civilian, mfano kilichopigwa usiku huu hapo Ben Guiron ni tanki la mafuta ya Ndege la Marekani, ama walitoa Taarifa ilivyopigwa base ya Qatar ni Radar ilipigwa etc.
Mfano wa satellite image Yao
View attachment 3553357
Hapo wanaonesha Hilo dubwshana la Duara ambalo ndio most expensive Radar ya USA Ukanda huo radius km 5000.
So sijui shule imebomolewa, sijui uwanja wa mpira umepigwa hawana time nayo.
Umeanza na kusali sala ya mtakatifu kuongea na sanamuBen Gurion haijapigwa labda uombee kesho ipigwe!!
Trump kimdomo sana kajichanganya Ayatollah hakutaka kufia kitandani ndiomana hakuwa kajificha popote..💥💥💥💥
Trump: wanatakiwa kusalimu amri au wafe. Wananchi wa Iran wachukue nchi yao
Source-Habari Jazz Band TVIssue nyengine for the first time Leo makombora ya Iran yametua bila ving'ora, it means Radar nyingi hazifanyi KAZI.
Pia huko Iraq dau la dollar milioni 1 limetolewa atakayepeleka kichwa cha Yule rubani aliye eject.
Vietnam not a communist country anymore na one of the biggest exporter to US, na ndio ilikuwa nia kubwa,Iraq is better now na US ana control almost security and oil business yote ya Iraq, taleban acha wajifie na akili zao za Stone Age hawasaidikiVietnam alipigwa sana mabomu ya Napalm na B-52 lakini US alitema bungo
Hata tusiende mbali ilikuwaje US akakimbia Afghanistani na wale wale Taleban aliowakimbiza wamemtoa tena , na hata leo Iraq yupo kama hayupo
Uongo huu mkuu.Trump kimdomo sana kajichanganya Ayatollah hakutaka kufia kitandani ndiomana hakuwa kajificha popote..
Vita yoyote
ata ile ya siku 12 kama tunakumbuka
uyu Trump alitwambia niyeye kamzuiya Netanyahu kumuua Ayatollah
na Trump akaongezea kusema ingekuwa mm ni Ayatollah nisingekaa sehemu moja muda wote!!
Sijui alitaka akajifiche ili wadai alijificha lkn CIA wamejua alipo!!!!!
Tukitumia akili zetu apo tunapata picha hii.
Kuwa Trump wkt
Wa ile Vita ya siku 12 alikuwa na taarifa za kijasusi wapi Ayatollah yupo
na waliompa taarifa wenyewe inaonekana imewashangaza kwanini uyu kiongoz kabaki sehemu moja tu wtk wote wa ile Vita tn ni Ikulu,,,
ndiomana Trump katumia neno lile. Namnukuu Trump!!
Ingekuwa mm nisingebaki sehemu moja,,
na ndio Ikulu yake rasmi.
tujikumbushe
kidogo! kiongoz mkuu na mwasisi wa Hamas marehemu Mzee Ahmed Yasin.
Kifupi uyu Ahmed kwanza alikuwa tayali mlemavu na ni Mzee sn anatumia kibaiskari cha Walemavu lkn
alipigwa kombora na kufa wkt anatoka Msikitini na Israel.
Sasa ikafichuka kuwa uyu Ahmed Yasin
kila akienda Msikitini maombi yake makuu kwa mungu wake. kwake asife kitandani afe shahidi
inamuuma kuona vijana watoto wanakufa Shahid lkn yeye anaenda kufia kitandani
hakuwa akijificha kabisa Msikitini kama kawa asubui saa11 kila siku.
Tatizo lengine lipo apa Wazungu upenda maisha sn so ukumu za kifo kwa wengine wanaona ni kumkomoa kukubwa zaid,
ndiomana umoja wa Ulaya ukapiga marufuku ukumu za Vifo kwenye mahakama zao.
Pwent yangu Ayatollah alikuwa ni mzee sn mwenye kutembea na gongo akisumbuliwa na magonjwa mbali mbali kwa wenye kuelewa yumkin Mzee alichagua kufa Shahid kitambo nyuma kidogo.
Nayeye hakupenda kufia kitandani kwa Uzee na magonjwa.,
Tukumbuke Ayatollah wa mwanzo mwasisi wa Iran ya KISLAM yeye kufia kitandani.
Shida ni source Tu?Source-Habari Jazz Band TV
Iraq is better? Unaandika kabisa huku Una Akili timamu? Nchi ambayo GDP per capita for sometime iliipita Hadi Uingereza na sasa imebaki Tu hohehahe.Vietnam not a communist country anymore na one of the biggest exporter to US, na ndio ilikuwa nia kubwa,Iraq is better now na US ana control almost security and oil business yote ya Iraq, taleban acha wajifie na akili zao za Stone Age hawasaidiki
Vietnam kutokua communist ni chaguzi lao wala sio US pressure.Vietnam not a communist country anymore na one of the biggest exporter to US, na ndio ilikuwa nia kubwa,Iraq is better now na US ana control almost security and oil business yote ya Iraq, taleban acha wajifie na akili zao za Stone Age hawasaidiki
Communist or not a communist haihusiani,Vietnam not a communist country anymore na one of the biggest exporter to US, na ndio ilikuwa nia kubwa,Iraq is better now na US ana control almost security and oil business yote ya Iraq, taleban acha wajifie na akili zao za Stone Age hawasaidiki
Mkuu tuwaulize! Kwanini serikali haimkamati huyo Kitima? Mpaka taarifa anazijua yeye huyu mtoa comment inamaanisha ushahidi upo tena wawazi,vipi kwamba hao wahusika hawazijui hizo taarifa hadi wanamuacha tu? Huyu Kitima kila siku anasemwa kwani anaupekee gani asikamatwe na kushtakiwa kwa hizo tuhuma wanazozisema hapa kila siku? Watu waache ujinga wa kujiropokea kwa kufata mkumbo wa Shekh flani kasema.Hii comment yako ndio naiona sasa hivi. Mkuu unataka kusema wale kina maaskofu waliokua wanamkosoa magufuli Kama askofu bagonza, askofu mwamakula, askofu kakobe, askofu mwingira, askofu niwemugizi, askofu shoo wote hawa hawakuwa wakristu?
Mkuu huu ni uongo ambao upo wazi, hakuna haja ya kuongopa kwenye hili Wala kubishana na hili ni kuniongopea wewe mwenyewe. Rudia speech ya Samia baada ya wale kina mwangi kutekwa
Huu ni uongo mkuu kitima hawezi kuwa na kikundi cha utekaji. Kuwaza hivi ni kujikosea mwenyewe
Naelewa wengine ambao ni pro regime. Lakini wewe usitumie uongo kuhalalisha kuw pro regime. Haifai mkuu
Hizo video watu wanazifukunyua dark Web kwa njia za kawaida huwezi kuzipata asilani na hiyo ni sheria kabisa Imetungwa mwaka jana walipo kuwa kwenye vita ya siku 12 laniki kwenye vita ya siku 12 walilenga zaidi zaidi hasa kwenye maeneo ya kijeshi lakini kwenye vita hii inaonekana wamepanua wigo wa udhibiti.💥💥💥💥
Video footage: Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv
King faisal ITR mchana tulibishana kuwa habari Israel hazitoki wamekatazwa. Nikawaeleza huwezi kukataza wananchi wasirushe habari, watarusha tu
Hawa ni watu wapo eneo la tukio wamerecord na wanaisambaza
Kwani mwamba akijiweka wazi kuwa yeye ni timu USA kuna atakaye muhoji au kumfunga😁😁😁😁Sasa inabidi tuanze wenyewe kuleta habari za Iran inavyoitandika Israel... ili tuweke usawa..
Mzee wa mlipuko mkubwa uyo nishamzoeaCheki sasa ulivyoandika, kinyonge kweli kweli...
Hata ile mlipuko mkubwa hujaandika...