Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel kashapiga mabomu mengi kupita yale ya vita ya siku 12 na watu alioua huko Iran ni mara 2 ya wale🦫
 

Attachments

  • Screenshot_20260306-121220.jpg
    125.6 KB · Views: 14
Ni USD 1Bln mkuu kwa nilivyosoma nami
Hizo ni logistics cost Tu ukitake consideration ya kila kitu ni hundreds of Billions, soko la hisa Tu limeshashuka zaidi ya 1 trillion dollar, watu wanauza hisa kwa Kasi, probably waarabu wanachukua hela zao, Ukiangalia hizo Radar kama za Iraq, moja Tu inacost zaidi ya 1B USD,

Ndio maana hata vyombo vya habari ambavyo siku zote vinasambaza propaganda za west kama Economist wapo busy Kucriticise hii vita.
 
Hizo UAE, Qatar, Saudia hazina kitu zitaifanya kuizuia USA na Israel.

Na wakileta zongo kikombe cha Iran kitampata mmoja wao baada ya Iran.
Diplomasia haziendi hivyo.
Akili za kitoto hizo,eti US iwashurutishe gulf state kisa kuwagomea!?
Mbona Oman alimgomea je USA walifanya nini!??
Iraq ilimuamuru USA iondoe kambi na ikaondoa je walibisha???
Kikao kimekalika cha gulf states kutathmini mikataba ya ulinzi na USA.
Huwenda wakamtema na kuvunja naye mikataba.
 
Hizo video zinalatikana dark web? Kwa hiyo mm nipo dark web?

Huyo aliyekua anarecord hapo nae hajulikani?

Huwa mnaona raha gani kuandika uongo?
 
Kumbe kabla ya hii vita pesa zilikua zinawanufaisha wananchiπŸ˜€

Trump anapigwa sio kwa sababu ya hii vita, trump anapigwa ni sababu ya tabia zake za hovyo hovyo. Jamaa analiendesha taifa jinsi anavyotaka yeye pembeni kazungukwa na machawa wa kutosha

Hayo masuala ya kusema sijui pesa za wananchi zinatumika vibaya hazina mashiko kabisa
 
Sasa kama haujui kwanini bado unabishaπŸ˜€.

BIbi hajulikani alipo, hii taarifa umeitoa wapi?
 
Hizo Dollar wanazipata wapi? Pindi watu wanapowekeza, influence ya kampuni zao world wide etc, So watu wanapochomoa hela Marekani kwa kuuza hisa wanapata wapi hela za kulipa?

Ukiangalia deni la Marekani linakua mno wanapoingia vitani, itafika stage hata kukopesheka watakua hawakopesheki.


Toka vita ianze zaidi ya Trilioni moja USD zimepotea solo la hisa, watu Wana prefer kuwa na cash badala ya hisa sababu kuna sintofahamu kubwa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ haya mambo huyawezi hebu turudi kwenye vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…