Wao hawataki propaganda za uongo zinazo lenga kufifisha Imani Yao , Ukiishi basi usiwaletee mambo ya ulokole 😁Huko Israeli Jews ni asilimia 70 tu, wanafuatiwa na idadi kubwa ya waislam alafu Wakristo alafu Druze...na dini zote hizo zipo serikalini na hata jeshini...sasa shida ya kuwa Jew au ni nchi ya Israel?
Watu wana athiriwa na zile hadithi za biblia za mambo ya nyakati ,Swamweli na stories za kitabu cha waamuzi 😅😁😁 Jeshi la Mungu mwaka Jana walipigika vibaya na muajemi Israel ikawa uchi wanyama Kila mtu alijionea maajabu walivyo kuwa wana aminishwa kwamba Israel ni super power kumbe ilikuwa uongo bwana
Wakati kuna Abu DhabiIsrael ni kama ndio ataumia zaidi
Hii ndio tamko la jeshi la Israel kwa wananchi kukaa mbali na kambi za jeshi huko IranMyahudi kachafukwa achana labisa na hao watu misri anawajua vizuri hao watu miungu yao kumi plus ilikung'utwa mpaka pharao akatema bungo na akawaachia waende nchi ya ahadi.
Trump kaepuka lawama kaitanguliza Israel ila ni yeye huyo..!! 😹Exactly... Israel ni koloni la america
Historically Iran wanatengeneza dini zao kuanzia Zoroastrian, Manichaeism, shiism etc. so most of time dini zao zinawala nchi Yao.Inawezekana ila Iran haikua nchi ya kidini tokea hapo, ni mapinduzi ya kiislam ndio yaliyoifanya itoke kuwa nchi ya kawaida yenye uchumi wa juu hadi kuwa ya kidini...Dunia nzima Gen Z hawataki tena ishu za dini kama umegundua...so nchi yoyote inayoweka dini mbele lazima upate upinzani kutoka ndani
Ahsante sana.Hongera mkuu hongera sana
Ndio 😄😄😄Duh! Kwahiyo Yesu kwao hawamtambui?
Dah 😄Watu wana athiriwa na zile hadithi za biblia za mambo ya nyakati ,Swamweli na stories za kitabu cha waamuzi 😅
Wachache mno wanaomwamini wengi ni wa dini ya kiyahudi na waislam na druizeDuh! Kwahiyo Yesu kwao hawamtambui?
🤣🤣🤣asilimia kubwa ya Dunia ikiwaunga mkono Iran
Ukisoma hizo stories toka ukiwa mdogo lazima uamini Israel ni dude kubwa mno hakuna wakuwapiga dunianiDah 😄
Dadeki muiran hajawahi kuwa mnyonge 🤣🤣Milipuko Zaidi Abu Dhabi na Dubai
Tunapokea ripoti nyingi za milipuko inayotokea huko Dubai na Abu Dhabi.
Hii inajumuisha shambulio la awali kwenye kambi ya Marekani Abu Dhabi ambapo anga limefungwa tayari.
Uko hivyo kabisa unakuwa brainwashedUkisoma hizo stories toka ukiwa mdogo lazima uamini Israel ni dude kubwa mno hakuna wakuwapiga duniani