Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu hukuelewa hoja yangu. Hoja yangu ilikua kwa uliyoyaandika je Iran inasacrifice malori ya kubebea mizinga?
Kuna shaheed drone zinazidi bei malori ya HOWO na FAW ya kichina.
Kama wanaweza kurusha maelfu ya shaheed drone, wanashindwaje kuharibu lorry...
Hayo magari utakuta wanayapata kwa bei ya kutupa kutoka China.. au pengine wanatengeneza wao wenyewe... sio issue..

Mbona hushangai interceptor za US zinalingana bei na private jet?
 
Wall Street Journal (WSJ)
Iran bado inamakombora maelfu katika maficho yake
Haya ni yale yanayoenda mbali zaidi yamefichwa ikibidi yatumike kama last resort.
Iran missiles city wameweka hadi mifumo ya kuzuia shockwave, ukipiga kombora mlangoni, kuna tunnels inafyonza ile shockwave isiingie ndani kuharibu makombora...
US na ISrael wana deal na watu ambao wap mbele ya muda..

Wanatengeneza fake radars zina emitt signal..
Wanasema missiles city zipo chini ya milima, wanasema hata upige kwa bunker buster yenye uweo mkubwa zaidi huwezi fikia missiles hizo.

Ingalikuwa ni rahisi, hata sasa US na ISrael wangesha haribu..
 
💥🇮🇷 Iran's strike hits US Patriot missile site in UAE

Images shared on social media by Drop Site News reporter Ryan Grim, which were supplied to him directly by a source, depict what appears to be the aftermath of the attack.
Iran anaanza kumaliza hizo air defenses, maana zinaishiwa interceptors, hapo anazipiga kirahisi. Maana US anashindw apeleke interceptor wapi ISrael ama gulf state... hii itapelekea hizo air defenses batteries kuchomwa zote.
 
Te
Cluster bomb yenye kipenyo hadi cha kilomita nane ina maana, athari ya bomu hili unaweza kufikia umbali wa kilomita nane tokea point of detonation...
TelAviv kama Gaza huko unaambiwa na muda huu wametumiwa kifurushi kingine
 

Attachments

  • IMG_20260307_123959_549.jpg
    11.9 KB · Views: 16
  • IMG_20260307_123916_508.jpg
    17.4 KB · Views: 14
  • IMG_20260307_123946_205.jpg
    16 KB · Views: 10
  • IMG_20260307_123928_273.jpg
    16.3 KB · Views: 11
Nimekubali sana aliposema 'We will act in such a way that the Americans will no longer think about attacking anywhere in the world.'

Trump na Netanyahu walifikiri wanavyoshambulia Iran na kuachwa eti wanaogopwa, upole wa mtu haimaanishi ni udhaifu..

Iran nimewakubali sana, jamaa ni wavumilivu...

Hata mimi nilifahamu Iran hivi sasa anapambana kuifanya US na Israel iogope vita, hii vita ikiisha hutokuja sikia US anapeleka kalio kuchokoa tena Iran.
 
Kabsa Kaka... Lakini pia kitu Kingine Iran imeonyesha Kuwa USA ni mbwa mwenye sauti kubwa ya kubweka lakini Hana meno ya kung'ata, hii itawapa mataifa mengine ujasiri wa kuivimbia USA.
 
Israel inakabiliwa na wakati mgumu huko kwenye mpaka wa Lebanon mpaka kamanda mmoja wa jeshi la Israel amesema kuwa walifanya makosa katika tathimini yao dhidi ya Hezbollah.
Sio kwamba walifanya makosa, kihistoria, na hata hapa tulisema, Israel vita ya ardhini hawezi pambana na Hezbllah, hivi sasa kuna IRGC wameingia huko ndio wasuka mipango, kwa kifupi Iran imeivamia Israel kwa ground forces..
 
Sio kwamba walifanya makosa, kihistoria, na hata hapa tulisema, Israel vita ya ardhini hawezi pambana na Hezbllah, hivi sasa kuna IRGC wameingia huko ndio wasuka mipango, kwa kifupi Iran imeivamia Israel kwa ground forces..
Wao kwa akili zao walidhani Hezbollah wamedhohofika hivyo kwa sasa haina uwezo wa kujitetea wakaenda kichwa kichwa kimewalamba.
 
Kipindi cha ID yangu ya zamani nilisema humu.
Kumuua Khamenei ni kosa kubwa sana na itazua vita ya dini.
Kheri umuue rais wa Iran kuliko kiongozi wa dini wa KISHIA.
Pro USA na ISRAEL walinitusi sana.
Nilosema yametokea. USA na Israel kila kona wanashambuliwa,hata hizbollah iliyokubali kutulia kisa vitisho vya serikali imevunja ahadi.
Vikundi vya wapiganaji wa kishia kila kona hadi Iraq wanawashambulia Marekani.
Erbil huko USA inapokea kichapo na maeneo mengine.
Hadi Boluchistan rebels ambao hawakubaliani na serikali ya Ayatollah wameomba kuungana na serikali dhidi ya Israel na USA.
Yote itikadi ya dini.

Watu walisema humu inamaana mie najua kuliko USA na Israel.
Aya Israel inageuka Gaza taratibu. Maana kijiografia haiwezi ku contain mashambulizi ya Iran ya muda mrefu.
Iran ina advantage ya kijiografia ina uwezo wa ku contain mashambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…