joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Drone unaishusha hata kwa gobole wewe. Anga limeshikwa hakuna mjadala.Iranian air defenses have shot down an Israeli Hermes-900 drone over the coast of Hormozgan, with its missile payload still intact.
ππ kuna watu walisema marekani na Israeli wamelishika anga la irani.
Hawa wameyataka wenyewe. Ila Iran ana haki zote za kujilinda kwa nguvu zote.β οΈ Apocalyptic scenes from Lebanon after Israeli strikes
Footage from social media shows widespread destruction in Al-Nabi Shayth in the Bekaa Valley, Eastern Lebanon.
The two Israeli airstrikes resulted in 16 civilian casualties, with 35 people wounded, Lebanese Ministry of Public Health reports.
Mkuu na wewe tuletee za ule upande mwingineEbu pumzika mzee! We unatoa habari za upande mmoja tu,tumekuchoka unajua! Unazingua!
Unaweza ukaleta video na ikawa out dated sio updated.Mkuu jamaa City Thunder OKC anasema na kaleta ushahidi ndege zinatoka na kutua Tel aviv, wewe unasemaje?
Trump kichaaπ₯π₯π₯π₯
Trump kuhusu Iran kuomba radhi mashambulizi waliyofanya kwa majirani zake. Pia Trump ameahidi leo Iran itapigwa sana
View attachment 3554188
Sio drone za MQ-o na Hermes 900.Drone unaishusha hata kwa gobole wewe. Anga limeshikwa hakuna mjadala.
Akifanya Iran wasilalamike.US na Israel wameshambulia vyanzo vya maji. Vijiji 30 havina maji. Sad.
Ona mambo yalivyo. Huyo ni mwandishi anasema ni mchambuzi wa geo politics lakini ameshindwa kutambua gemini photosHii hakuna mtaalam wa vita aliisema hii mbinu humu?
Waambie mkuuAkifanya Iran wasilalamike.
Naona wameamua kufanya ugaidi kwa kulenga watu zaidi.
Maana yangu kupiga drone ni rahisi kuliko ndege. Na drone sio issue ndio kuna hadi one way drone.Sio drone za MQ-o na Hermes 900.
Hizo mkuu zinapaa kwa higher altitude gobore halifiki huo umbali.
Hao sio askari mkuu. Ni vibwengo maalum kuwazuga US wapoteze missile.πππ
π π π πHao sio askari mkuu. Ni vibwengo maalum kuwazuga US wapoteze missile.πππ
Punguza mahaba Mkuu.Ona mambo yalivyo. Huyo ni mwandishi anasema ni mchambuzi wa geo politics lakini ameshindwa kutambua gemini photos
Bado sielewi kwa washabiki, mtu akiongopa Iran inapigwa sana wakati haipigwi hiyo inawaathiri vipi Iran?
Au mtu akisema Israel inapigwa sana wakati haipigwi hiyo inaathiri israel?
Wameshindwa kuelewa hiki tunachoandika hapa hakiwanufaishi au kunyongesha wanaopigana huko, ndio maana sioni sababu ya mtu kutumia sana uongo