100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
B-2 zinapita kwa machale sana, maana ikibahatika kulengwa ni habari ya dunia.. si umeona F-15 kadhaa zimeanguka na baadhi ya drones za hermes, sasa B-2 ikipigwa itakuwa hatari sana, hizo ndege kwa sasa ndio kama alama inayoonyesha nguvu ya US. Hivyo ikipigwa ni aibu kubwa sana.yaani unamaanisha kwamba mzigo unaobebwa a b2 Ama b1 na b52 ni mzigo mdogo hizo fighter jet Wala haibebi bomu hilo
Usiwaze tutafika unakotakaKati ya mambo ambayo yananinyima usingizi, moja wapo ni kuona Tel Aviv umeme unawaka!!!
Daaaaaah!
kwa Air defens gani sasa huko Iran inayoweza angusha hiyo b2 Hizo TU f15 ni mtihani kuziangusha mpaka Leo hii tena mda huu zinaoparet ndaB-2 zinapita kwa machale sana, maana ikibahatika kulengwa ni habari ya dunia.. si umeona F-15 kadhaa zimeanguka na baadhi ya drones za hermes, sasa B-2 ikipigwa itakuwa hatari sana, hizo ndege kwa sasa ndio kama alama inayoonyesha nguvu ya US. Hivyo ikipigwa ni aibu kubwa sana.
Air defense sio issue, elewa tu stealth hata kwa radar ya mwaka 1947 inaonekana endapo Iran ikipata intel na kuamua ku tune frequency za radar za chini.kwa Air defens gani sasa huko Iran inayoweza angusha hiyo b2 Hizo TU f15 ni mtihani kuziangusha mpaka Leo hii tena mda huu zinaoparet nda
mbona zishawahi kuingia Iran nazikatoka salama kabisa umezungumzia F- 117 kupigwa kule Yugoslavia lakini kumbuka ndege hizo ziliendelea kutumika katika vita hivyo mpaka mishen ilipokamilika na pia wataalamu walitoa sababu ya kupigwa kwake ni rubani wa ndege hiyo kuacha milango yakuachia mabomu ikia wazi kwa mda mrefuAir defense sio issue, elewa tu stealth hata kwa radar ya mwaka 1947 inaonekana endapo Iran ikipata intel na kuamua ku tune frequency za radar za chini.
Low frequency huwa zinaona stealth. Hata F-117 iliyopigwa kule Yugoslavia, ilipigwa na S-125, hizo S-125 ndizo hizo unaona Tanzania tunazitumia kama air defenses.
F-117 ulishaiona hata kwenye picha? inataka fanana na B-2, nadhani .
B-2 ilitengenezwa na Northrop Grumman na F-117 walitengeneza Lockheed.
F-117 ilipigiwa sana chapuo enzi hizo 1990s , ilipigwa ikaanguka. Hizo ideas zote .
Kuhusu F-15, hizo ndege kwanza sio stealth, lakini ndio ndege inabeba mzigo mzito zaidi kuliko ndege yeyote ya kivita(fighter jet) , kuanzia F-22, F-35, F-16, F-18 Hornet n.k...
Hizo F-18 zimekuja replace F-14 Tomcat, F-14 Tomcat zilikuwa out of service 2006, tokana na gharama ya uendeshaji halafu ni kubwa kiumbo, zilitengenezwa mahususi kwa kufanya ulinzi wa meli za kivita baharini.
F-15 ndio ndege Israel wanatumia kama bombers, hivyo kwa hii vita Israel na US wanaihitaji sana F-15E, maana inaweza beba cruise missiles nzito sana hadi tani 2...
Hii ndege inaweza achia missiles kama delilah ikasafiri zaidi ya kilomita 200 kupiga target huku wakati huo imeshageuka inarudi base na cruise missiles inaelekea kwenye target.
F-15 si ndege nzuri kwa air superiority, ikiingia hovyo inapigwa hata na Mig ya kawaida... maana ilitengenezwa kufanya deep penettration au stand off strike, kushambulia ikiwa mbali.
Lakini ikijisogeza hovyo kwenye target za Iran inaliwa kichwa.
Hivyo usije shangaa B-2 kuingia kwenye 18 ikaliwa kichwa, ndivyo vita vilivyo.
Sio kuachia milango wazi.mbona zishawahi kuingia Iran nazikatoka salama kabisa umezungumzia F- 117 kupigwa kule Yugoslavia lakini kumbuka ndege hizo ziliendelea kutumika katika vita hivyo mpaka mishen ilipokamilika na pia wataalamu walitoa sababu ya kupigwa kwake ni rubani wa ndege hiyo kuacha milango yakuachia mabomu ikia wazi kwa mda mrefu
Askari walikuwa nchi gani hao?🚨 ‘Several American soldiers have been taken prisoner’ — Iran’s security council secretary Larijani
💬 “It has been reported to me that several American soldiers have been taken prisoner,” Iran’s security council secretary Ali Larijani wrote on X.
The US says the soldiers were killed in action, he noted.
💬 “Despite their futile efforts, the truth is not something they can hide for too long.”
Amesema Iraq,Askari walikuwa nchi gani hao?
Kweli dini inaweza kufanya kichaaHuyo kafa shahed kwa mujibu wa dini yao, makamanda wengine hapo wanataka na wao wafe kama yeye...
Ambacho wengi hawajui, waislamu mwezi huu wa ramadhani kufa kama hivyo kama yupo kwenye funga na amekufa akiwa kwenye mapambano ina maana amekufa shaheed. Hapo hakuna hata huzuni baina yao.
Iran wamechange atmosphere ya Middle East 😄😄Dubai airport after the drone attack
Thousands of passengers who were waiting to leave are now fleeing the airport.