Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hamdurirah

nakunywa uji wa tende ukwaju

huku najiandaa kuwaletea nukuu za gaidi Ayatollah mteule mojtaba
 
Nionavyo mimi sina hakika ila nahisi kuna style ya maisha huko Iran ni ngumu kwa raia jambo ambalo watu wengi hatulijui. Wengi humu tunashadadia

ila tungeambiwa tuvae viatu vya wa Iran hatuwezi kubali na ndio maana wa Iran wengi wanapenda kwenda kuishi ulaya na Marekani.
 
Nukuu za gaidi Ayatollah mteule mojtaba

Baba yangu aliniambia wazayuni watakuuwa ili kuniumiza mm Ila bahati mbaya wamenwangamiza yeye
 
😄😄😄
 
Nukuu za gaidi mteule Ayatollah mojtaba

tunamahandaki 30 ya familia baba walimuwahi asubuhi wakati anaota jua anajiandaa na kikao
 
Nukuu za gaidi mteule Ayatollah mojtaba

Wazayuni wanajua kulipa kisasi sisi wa Iran tumejitoa kafara tutakufa kwa ajili ya uislam
 
Nukuu za gaidi mteule Ayatollah mojtaba

nimekaa London kwa muda mrefu watu wanatuchukia Sana waislam sijui tuliwakosea Nini ukivaa kanzu au hijabu wanakukwepa
 
Yaan ni kama watu hawa wajui hawa US na Israel tena kuna watu humu wamamsifu Iran anaweza kulipana mda mrefu hawajui athari zake ni kwa wakimaliza kupiga kambi za jeshi wataamia kwenye miundombinu ndio hapo sasa raia watapo igeuka serikali maana huduma za jamiii zitakuwa tabu na hichi ndio US anakitaka.
 
Nukuu za gaidi mteule Ayatollah mojtaba

Wamarekan wametuwekea vikwazo ni kweli vimetuumiza Sana lkn kwenye uislam hatuogopi kufa Shahid
 
Nukuu za gaidi mteule Ayatollah mojtaba

Tumezungukwa na majirani wabaya hakuna anayetupenda labda Hamas au Hezbollah au houth lkn wengine ni watumwa wa Americans
 
Nukuu za gaidi mteule Ayatollah mojtaba

Baba aliniambia tupo hatarini tunawindwa na bahati mbaya wairan wengi hawatutaki Tena nilimwambia haijalishi tutasmama bila kuyumba
 
Nukuu za gaidi mteule Ayatollah mojtaba

walimuua sadam walulimuua gadafi hakika hawatamuua baba yangu 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…