Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


Yaah huu mkakati wake hata mimi nimeusifu.
Hapo lengo ni kuwatisha majirani lakini pia kuwagombanisha na USA.

Ingawaje bado mechi ni mbichi lakini bado kama anga la Iran linakuwa linadhibitiwa na US na Israel sioni namna yoyote ya Iran kushinda.

Atakuwa anafutukuta tuu
 
Acha basiii
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Vita ya siku 12 ya mwaka Jana wakati Israel alivyopewa kichapo ulikuwa wapi !?
 
Nilitegemea kuona USA na Israel wakiungana kuishambulia Iran, lakini sikutemea mashambulizi yao kuwa mepesi kiasi hiki.

Yaani mataifa makubwa mawili kijeshi yanaungana kutaka kufanya regime change ndani ya Iran halafu wanaanza na mashambulizi dhaifu kiasi hiki?

Are they retards!?
 
Nilijua lazima uje kutingisha kalio lako kwa wanaume..!!

Basha ako duli si ndio aliua watoto na silaha zake alizoagiza, wewe sio tu punga ila pia ni punguani..!!
Dah πŸ˜„
 
Ndugu mchambuzi , So do you think Iran ni Venezuela au ni Libya !? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Huyo ni Iran hanunui tech ya vifaa vya jeshi Kila kitu ana produce mwenyewe so ukienda kichwa kichwa lazima ule za uso
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
King'ora cha tahadhali kimelia Tel aviv, watu wanatakiwa kuingia shelters
 
Usiamini propaganda za magharibi Iran ana support kubwa sana ya wananchi ingawa marekani na Israel wanapenyeza Kila aina ya fitina kuleta internal conflict and unrest.
Tatizo la nyinyi pro Iran ni kuweka denial kwenye kila taarifa ambayo nyinyi hamuipendi.

Labda nikuulize.

Kinachoendelea hapa Tanzania, uonavyo wewe kuna chemistry yeyote unaiona kati ya seikali na wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…