Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
View attachment 3556016
Unalipwa sheikh....kazi saa ngapi? Usije anza kumlaumu Samia baadae!? Vita vitaisha ivyo na maisha yataendelea huko middle east! Wakati huo wewe bado hoehae ! Myahudi hatambui kama wewe mmatumbi ni myahudi mwenzie!
 
King Hamad bin Issa Al Khalifa of Bahrain appeared to have fled the country.
Aisee Bahrain serikali ishapinduliwa shia wanakamata uongozi. Tatizo lingine hili.
Kesho White House watatoa Tamko la kufanikiwa regime change
Tusubir
 
Kesho White House watatoa Tamko la kufanikiwa regime change
Tusubir
White house watoe tamko la kufanikiwa regime change katika nchi gani mkuu!??
Maana kiongozi aliyekimbia Bahrain alikua rafiki wa USA na Israel.
Na waliompindua ni shia majority.
 
White house watoe tamko la kufanikiwa regime change katika nchi gani mkuu!??
Maana kiongozi aliyekimbia Bahrain alikua rafiki wa USA na Israel.
Na waliompindua ni shia majority.
Si kwenye hiyo nchi iliyopinduliwa wale vichwa vyao wanavijua wenyewe hawashindwi kugeuza mada
 
Uwanja umeinama
Kobaz vichwa chini, ni kama wamedata, wanaweweseka, hawaamini kile wanachokiona.

Waliamini ukimtoa Russia basi anafuata Iran, kumbe Iran ni mwepesi kabisa katika medani hizi.
 
na umeinama kweli japo jamaa zetu humu hawataki kabisa kukubali ukweli watakwambia Israel imechakaa sana unajiuliza Israeli hii hii ambayo mpaka ndege za abria zinatua na kuondoka hadi Leo hii
Kipigo anachopewa Iran ni kwamba ishu ya ulinzi wa Taifa kuanzia ngazi ya serikali, jeshi hadi polisi ni kufutwa kabisa.
 
Hao Kobaz akili zao zimedumaa mkuu.
 
Dharau nzito sana hizi mkuu, kweli Iran ni jeshi lelemama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…