Wayahudi wambeya walituambia Hezbollah wamefutika hawapo
Huu Uzi wa Iran na Israel hebu toeni huu upuuzi wa dini, JF inahitaji moderators wa kuonya watu na kulimit hizi post. Watu wengi wanaotoa madini wamekimbia huu Uzi mmebakia Tu watu wenye "low effort posts"Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa
Wewe umejaa Udini tupu mkuu
Kama ukiweza, nitajie mtanzania Asili mweusi kama wewe ambaye ni mfanya biashara ukiondoa hao wahindi wanaofahamika
Wayahudi wambeya walituambia Hezbollah wamefutika hawapo
πBaada ya Israel na US kulipua Bank. IRGC wameyangaza watu wote wanaokaa karibu na bank zenye maslahi na wayahudi au US wakae umbali wa Km 1 kwa Muda maana wanajambo nazo.
Iran kwa siku anarusha makombora 20 tuBaada ya Israel na US kulipua Bank. IRGC wameyangaza watu wote wanaokaa karibu na bank zenye maslahi na wayahudi au US middle east wakae umbali wa Km 1 kwa Muda maana wanajambo nazo.
Israel baaya ya hii vita hatopigana tena kwa miaka 10..
Imagine yale mashambulizi ya zile bases za US yote yange elekezwa Israel.Kuna watu niliwaambia humu,Israel kamwe haina ubavu wa kupambana na Iran.
Kwa madai ya Trump Iran alipanga mashambulizi mazito sana dhidi ya Israel ambayo yangemaliza vita mapema sana. Kuishambulia kwao Iran kumefanya Iran itawanye nguvu.
Halafu kuna mbuzi zinakwambia Israel inajiweza.
Najua unajua ila unapotosha kimakusudi, makombora ya sasa yanaitwa Khoramshahr-4 achana na 20 even matatu Tu yakirushwa impact yake ni kubwa kuliko makombora 100 ya mwanzo. Cluster bomba yenye vichwa Hadi 80 sio mziki wa kitoto
Iran hapambani kushindana kurusha wingi wa makombora na hahitaji maana ameshaua early warning radars za US middle east zilizokuwa ni kiburi kwa Israel.
Labda siyo IsrrailIsrael baaya ya hii vita hatopigana tena kwa miaka 10..