Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Na kwambia baada ya hii vita USA kazi wanayo 🀣
 
🀣🀣🀣 Mzee muongo muongo mpaka kapitiliza
 
Wewe ni Ant Trump
Huwezi kuona umuhimu kutatua changamoto kabla ya kuwa kubwa

Kitendo Cha Iran kushambulia majirani zake Tena wa Imani Moja

Imeonyesha wazi kama wakoruhusiwa kumiliki nuclear Nini watafanya
Kwahiyo ulitaka Iran watulie tu bila ya kuwalipua hao majirani zake hence unaona kuwa Ardhi za hayo mataifa zinatumika kumuhifadhi adui wa Iran na vita inapo piganwa silaha za kuiangamiza Iran zinatoka huko huko Kwa majirani zake Iran , so ulitaka Iran wakae kimya tu wasifanye kitu Kwa hao majirani licha ya kumuhifadhi USA katika Ardhi zao

Samahani kama nitakuwa nakosea

Hivi una Akili timamu kweli !?
 
USA hawana umoja kama Wairan.

Huwezi sikia tops wa Iran wanasimangana Lkn ni hali ya kawaida huko Usa kusimangana. Huyu anaongea hili na yule lile, Trump nae analopoka lake.

Ila nawahakikishia USA wangekua wamoja IRAN ingefanywa vibaya sana kiasi ambacho ingekuwa ngumu kurudi kwenye nyuklia tena
 
Usa hawana umoja Tena !?

Now mmeanza kuja na visingizio !? 🀣🀣

Iran wame improve acha ujinga unapaswa kuwapa credit Kwa kile walicho nacho na wanacho kionyesha in Butterfield Dunia nzima haikutaraji kuona hiki kinacho tokea now

Nchi ambayo imekaa katika vikwazo all most 40yrs now inatoa mkong'oto vibaya sana Kwa USA na Israel, wonder will never ends

Mnapaswa kukubali kwamba huyo USA Kwa Dunia ya Sasa Hana jipya
 
Je ni kweli IRAN imeweza kusimama Kivita na Mataifa mawili yani MAREKAN na ISRAE!!

Na kuwatetemesha kiasi sasa ni wao ndio wanatafuta njia ya kurusha taulo Uwanjani!!!

Kweli Dunia inazunguka. MUISRAEL kawa ngoma ya Iran!!!!
🀣🀣🀣🀣 Promised land !!! What happened to them !?
 
πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜„πŸ€£πŸ€£ Yeah Huwa wanaminya data utasikia N.korea wana maisha magumu sana , oohh Russia ni maskini mnoo mara ohh Iran wanaanguko kubwa la kiuchumi

Jamaa Huwa wana tudanganya sana na data zao za kupika

Kwa mfano ukiitazama N.korea Ina miji mizuri Iko well organized Nchi imependeza kinyama watu wanaunda Kila kitu wao wenyewe magari Simu etc halafu huku tuna ongopewa kuwa N.korea ni maskini watu maskini wanawezaje kuwa na high advance technology ya kiwango hicho kama N.korea na Iran !?

Hawa jamaa sijui Huwa wanatuona wote wehu
 
πŸ˜„πŸ˜„ Sindio
 
Miundombinu ya kuwalindia wenzie haina uwezo tena kichobaki ni kuwalinda kwa maneno sijui wataendelea kumuamini awalinde, yaani katia aibu mameli yote aliyotuma yameshindwa kumlinda hata yeye mwenyewe
πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Aibu kubwa sana what a shame Sasa sijui atawatishia Nini ili waweze kukubali kulindwa Tena na USA !!!?

Aibu sana kwakweli nacheka kama mazuri , waliosema acha mvua inyeshe tuone panapo vuja ndio hii Sasa ! πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ™Œ

Yaani USA anakwenda kupoteza ushawishi kwakiasi kikubwa sana Nchi za middle east zitawaamini vipi Tena kwamba wanastahiki kuwalinda , Yaani Unaanzaje kuniambia kwamba una power ya kunilinda wakati wewe mwenyewe base zako 27 zimekong'otwa vibaya mpaka umehama venue !

Pro USA na Israel yote haya hawayaoni wanachukulia mambo poa sana πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…