Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?

Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Pia Kuna Wala Tende Na Wabonyezao Mvinyo Wenye Chachu Wasio Na Hatia Nao Wataangamia....
 
Iran imeanza war of attrition kwa kutumia cruise missiles. Hadi sasa hawajatumia hypersonic missile hata moja.
Ripoti zinasema Iran imeanza kupaisha ndege zake za J-10c na Mig-29 katika anga lake kuzuia cruise missiles za Israel.
 
Trump na Europe pamoja na washirika wao wote ni wajanja sana, wanajifanya kama wamegombana, kumbe lao moja.

Hii vita ya tatu ya dunia wanaiendesha ki mkakati sana.

from no where:
1)Trump akaanza kuwatusi viongozi wa umoja wa ulaya
2)Trump anaitaka Green land
3)Mafaili ya Epstein(naskia putin ana picha mjongeo za trump na vibinti.)
4)Wahamiaji wakala deportation

Pamoja na mengine mengi hayatokei kwa bahati mbaya.


hizo ni geresha, kuna watu wanadanganywa na wanadanganyika ni urusi, China, Iran, North Korea.

Muhindi yeye ni double agent ndio maana umoja wa ulaya baada ya kujifanya wamegombana na trump wakampa dili kubwa la kupeleka wataalamu wengi umoja wa ulaya yote.

unaambiwa hili ni bonge moja la dili India kupata.


View: https://youtube.com/shorts/vGC0bhSMI88?si=kDGwebVTGzQHTjYj.
Sasa zamu ya muiran imefika, mwanzo walitaka kuanza nae, alivyojibu mapigo wakaona chizi mabomu huyu atatumaliza ngoja tujipange.

Us ili kujifanya kaamulia ugomvi akashambulia vinu vya nyukria, haikuwa bahati mbaya ile ilikua ni tactic ya kumpunguza nguvu Iran ili ikija phase ya pili(hii iliyoanza leo) asiwe na nguvu hata kama kaanza kutengeneza vingine.

Phase ya pili marekani katika kupasha pasha kabla ya mechi, akaamua kumchukua moduro ghetto kwake.

Na huu ni ujumbe kwa nchi ndogo ndogo zilizopo BRICS kama vile South Africa, Brazil kwamba nyie hakuna haja ya vita, natuma kikosi kinakuchukua(kwenye kundi hili ndio hata sisi tumo)

Sasa mechi imeanza leo baada ya maandamano kufeli.

Iran atapigwa vizuri tu, na atachagua mwenyewe akimbilie Russia kama Al asad au ajifiche mpaka atakapofikiwa

Hakuna China wala Russia atakaejaribu kukinga kifua zaidi ya maneno

China kawekewa Taiwan inamtazama vizuri tu.

Kiduku akijifanya hana akili nzuri kuna South Korea

Mrusi ambae alikua na afadhali, kasogezewa fupa lisiloisha Ukraine kila aking'ata wapi na wenzake China na North Korea wanajifunza kutokana na makosa ya Swahiba wao Russia.

Wakimalizana na Iran nadhani kituo kinachofuata atakua kiduku, kiduku akiguswa najua China na Russia wataingilia, na hapo watakua wamechelewa.

Umoja wa ulaya utaungana na Us
 
Iran imeanza war of attrition kwa kutumia cruise missiles. Hadi sasa hawajatumia hypersonic missile hata moja.
Ripoti zinasema Iran imeanza kupaisha ndege zake za J-10c na Mig-29 katika anga lake kuzuia cruise missiles za Israel.
 
Hatimaye umeonekana Baba Mwaj.
 
yetu macho
 
Kwani china na Iran nani anateknolojia kubwa kwanini asingeanza na china AMEWAONEA WATU WASIOKUWA NA UMOJA WA HIZO JAMII hivi IRAN+UTURUKI, MISRI, QATAR,SAUDIA, AFGHANSTAN+KOREA, CHINA+ URUSI+ VENEZUERA+CUBA wakiungana kumpa nguvu IRAN NA MRUSI wamshambulie Marekani watashindwa
 
Mchina alianza na uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…