Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari



🤣🤣 Muue
 

Attachments

  • 20260314_091806.jpg
    140.9 KB · Views: 17
Dogo acha kujipa matumaini hewa. Shtuka usingizini Netanyahu bado yupo na wakati huu amewapania sana kazi kwenu.
 
Hawa mijamaa wa mihemko ya kijinga kama visichana vya balehe

Achana nao mkuu tupe update
Wewe ndo mwamba kwenye hili jukwaa

Kama wanaripoti nao wako huru kuweka hapa

Wanashambulia mjumbe sio sahihi
 
Ndege 100 na bado Iran anatoa mkong'oto wee jamaa mbona muongo muongo sana !? Yaani ndege 100 zitumike katika operation and still Iran bado wako strong basi kama ni hivyo Iran sio watu ni invisibles
Tatizo mna mihemko kama Babu yenu Ayatollah

Unafikiri hiyo milipuko ya Kila siku Iran inafanywa na ndege moja
 
We kijana hivi unajielewa kweli!?
Sisi tunazungumzia Hizbollah na Houthi KUSHIRIKIANA NA IRAN KUSHAMBULIA PAMOJA.
Hizbollah na Houthi mwaka huu ndio wamefanya JOINT OPERATION dhidi ya Israel.
Miaka ya nyuma wamekua wakifanya operation zao binafsi ambazo Iran hazikumhusisha.

Still huwezi fananisha kundi la wanamgambo na nchi kamili kama USA. Utakua huna akili.
 
hata
hukumbuki kama waliwahi ungana wakala kichapo
Lete ushahidi waliungana wapi na wakala kichapo na nani!??
Usijisahaulishe YOMKIPPUR WAR 1973 Egypt alimpiga Israel na kumuondoa Sinai peninsula.
Vita ambayo ilimfanya Golda Meir astep down kwa aibu.
Hii vita ilifanya Misri iogopeke na moja wapo ya sababu ya kuua kila kiongozi mwenye misimamo mikali pale Misri ikiwemo Anwar Saddat na Mohammed Morsi.
 
Ile ndege iliyojazwa mafuta habari ya kwanza tuliambiwa imedondoka? Ila baadae ndipo wanamgambo wa Iraq wamesema wameipiga na mpaka sasa US bado hajasema kama ile ndege imetunguliwa so husitegemee US kusema meli zake mbili zimepigwa. Jana walisema meli ya Ford iliwaka moto na watu wao wawili wamejeruhiwa? So kwenye vita kuna Propaganda hata hizi za US ni Propaganda.Yaani leo Mwakinyo akipigana Wema,akianguka atasema kateleza ni ngumu US kukubali kapigwa ngumi. Ila kwa kinacho endelea kweli amepigwa, ila hata yy lazima afiche Propaganda za uongo.

Pili mpaka US hili Radars zake zaidi ya kumi zimepigwa? Sasa hii nayo utasema Propaganda, kwa sasa uwezo wa maswala ya anga umepungua ktk hali ya kawaida ya kufikirika huwezi kusema unadominate anga, kwani Iran anapiga na kurusha mabomu atakavyo,mpaka US wanalalamika na kudai Russia anamsaidia Iran kulocate their millitary resources (Huu mjadala ulikuwepo CNN juzi).Hisibolah nao kwa siku mbili mfululizo wamerusha mabomu ambayo mengi yamefika kwenye ardhi ya Myahudi na wafanikiwa kupiga kambi mbili za kijeshi za kukusanya taarifa na vilevile wakashare video wakilipua ya vituo vya satellite vya kijeshi vya kiyahudi(source Times of India and Hindustan Times),wale wanamgambo wa Iraq wamerusha mabomu mengi kwenye kambi za US na mengi yamefika na hatimae jana wakaitungua ndege na wa tech za kienyeji, ktk hali tu ya kufikirika anga la Middle East limechafukwa,ngumu kusema kuna ndege 100 angani,hilo ni uwongo,maana hawa Hisbolah na wanamgambo wa Iraq wanatech za kawaida.

Halafu kwenye maswala ya kisayansi ,huwaga tunasema hamna machine inayofanya kazi kwa asilimia 100 kwa usahihi, haipo na haito kuwepo. Iron Dome sasa hivi wanayahudi wanaulizana ,ukweli kuhusu ufanisi wake baada ya kugeuka chujio na Myahudi analayer kama tatu kwenye anga za ulinzi,ila zote zipo hoi. THAAD Himars and Patriot tuliambiwa hivyo ni mifumo ya kisasa ya kuzuia mabomu, ila leo kiko wapi maana hata yenye imelipuliwa.

Turudi kwenye ndege according tu wao B-2 wanasema haionekani kwenye radar,lkn huu ni ulimwengu wa Tech, hii ni products US kaidesign yeye na kutest kwa mabomu yake yeye na hata kesho hizo ndege zikipigwa watakataa zimepigwa na wewe ukimbiwa bado utaamini Propaganda za uongo. Bomu la Tomahawk lilopiga shule Iran mpaka sasa ,US anasema ni Propaganda za uwongo kuanzia Trump na Secretary of Defence wote wanasema ni uwongo, ila media zote kubwa wameshare clips video ya bomu lilipo anzia na mabaki ya lile bomu. Sitoshaga hata hizo ndege zikipiga bado utasema ni uongo? Ila Russia na Iran mpaka sasa,wao wanampa msaada Iran kwenye maswala ya anga,sitoshangaa hizo ndege zikiwa detected na kupigwa,kwenye maswala ya kisayansi inawezekana.Hata hizo meli kweli ni kubwa mfano Lincoln ina uwezo wa kubeba ndege tisini huku ikizungukwa na meli nyingine kumi,ila juzi tu Mchina alikubali kumpa Iran mabomu ya kuzamisha meli,mimi na kubali hizo meli hali yake sio nzuri. US kukubali kama anahali mbaya kwa sasa ni sawa Mwakinyo akubali amepigwa ngumi na wema akaanguka.
 
kama hujui mpaka leo golan inashikiliwa sasa mimi nitakusaidieje
 
Kwanza, kama kweli ndege ya Marekani imetunguliwa, hilo si jambo dogo la kufichwa. Leo kuna satellites, OSINT analysts na media huru duniani. Ndege ikianguka lazima kuwe na wreckage, coordinates au picha zinazothibitisha.

Mpaka sasa hakuna uthibitisho huru kwamba ndege ya Marekani imetunguliwa na wanamgambo wa Iraq.

Pili, madai kwamba carrier zimepigwa ni propaganda tu.
USS Gerald R. Ford na USS Abraham Lincoln ni sehemu ya carrier strike group yenye tabaka nyingi za ulinzi destroyers, cruisers, rada na mifumo ya makombora. Tukio la carrier kupigwa lingekuwa headline ya dunia nzima, sio tetesi kutoka Telegram au vyanzo visivyo rasmi.

Halafu unasema radars zaidi ya 10 za Marekani zimepigwa lakini hakuna ripoti huru kuthibitisha hilo. Marekani ina vituo vikubwa vya kijeshi kama Al Udeid Air Base na Al Dhafra Air Base ambavyo vina mtandao mkubwa wa rada. Claims kama hizi bila ushahidi ni propaganda za kawaida za vita.
Kuhusu mifumo ya ulinzi wa anga, hakuna mfumo duniani unaokamata makombora 100%, hilo ni kweli.

Lakini mifumo kama Iron Dome, THAAD na Patriot missile system imeonyesha mara nyingi uwezo mkubwa wa kuzuia mashambulizi. Ndio maana nchi nyingi duniani bado zinaitumia.

Na kuhusu stealth bomber, Northrop B-2 Spirit haimaanishi haionekani kabisa kwenye radar, bali imeundwa kupunguza sana uwezekano wa kugunduliwa. Ndiyo sababu bado ni moja ya ndege za kimkakati muhimu zaidi za Marekani.

Kwa kifupi, kwenye vita kila upande hutumia propaganda. Lakini tofauti ya propaganda na reality ni ushahidi. Claims nyingi unazotaja zinatoka kwenye posts za wanamgambo na media zinazopendelea upande mmoja, sio uthibitisho wa vyanzo huru.
 
we mzee acha ujinga wakati nyie nyote yaani hujui kila ambalo hao hizbolah na houth na hata hamas huwa wanashambulia kwa kutumia silaha wanazopewa na bwana zao na hata wamekuwa wakipokea wataalamu wa milipuko kutoka kwa huyo bwana yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…