Mlima sayuni umeona isiwe tabu naww umejiunga kutu update 😜😜😜😜😜😜😜 itakuwaje sasa Walokole nyuso mtadhiweka wapi kwa kipondo ichi kutoka kwa Islamic Republic of Iran!!!!!!!!
Sio mda Iran itakua kama Tanzania 😀One step at a time.
Zimeanza kwanza kupigwa base, Zinapigwa balozi zake, zitapigwa melivita na kisha kuondoshwa Gulf countries zote, WAmarekani wote wataondoka middle east. Bàada ya hapo atafuatwa huko huko (Washington & othrer states) kuendelea kupewa kichapo.
Marekani ni haki yake kupewa kichapo 😁😁😁🤓😀 Just kidding.
Ndiomana wamekuja juuu iliwaonekane !!! lkn awa watakuwa Cristian wapo free kwa Iran na ni proo Palestine!!Kwasasa Makombora Ya Iran anayo tumia Hivi sasa Yanachimbua watu huko huko Chini ya Shimo
View: https://x.com/i/status/2033182488244199796
Nimeona video Jengo lipo Sawa Ila apartment moja Tu ndio imepigwa, na Iran Wana tease Nani kafa? Someone mkubwa kapigwa hapo, soon tutaambiwaTunaendelea
Hapa Wana wa Israel wakishangaa watu wamekwama kwenye Jengo na Miili ikionekana baada ya Mashambulizi ya Iran hii leo
📍🇮🇱 NOW: A large crowd of Zionists is watching the extraction of the trapped, dead & injured from the building targeted by an Iranian missile in Tel Aviv
View: https://x.com/i/status/2033151525875245183
Huna akili ya kuelewa kwanini adui anashambulia kabla ya KUJIANDAA vya kutoshaMoja ya hoja za kijinga kabisa za Israel na Marekani ni kwamba hawataki Iran iwe na makombora.
Wao wanayo hayo makombora lakini hawataki Iran awe nayo.
Yaani Iran asiwe na zana zozote za maana za kujilinda ili baadaye wakitaka kumvamia, wamvamie kirahisi bila shida yoyote ile.
Huo ni ucenge na unafiki wa kiwango cha pekee kabisa.
Nani mwenye akili timamu na mwenye kujiheshimu anayeweza kukubali huo ucenge?
Bahati mbaya vita vya Ardhini Kwa sasa wanapigana ni robot TUNa Akitaka Chamoto akione apeleke Wajenda Ardhini ndio atajua Jina Lake ni Karatasi tu
You are so lame! And honestly, you’re dumb.Huna akili ya kuelewa kwanini adui anashambulia kabla ya KUJIANDAA vya kutosha
Nilikuwa nakuona una akili za Geopolitics kumbe hewani
Kitendo Cha Iran kugombana na majirani zake wote Tena wa dini Moja hiyo ni ishara hastahili kuachiwa awe na nyuklia
SIlikuwa una akili ndogo hivyo ya kiandazi
Kuna wajinga walio apishana kwenye Kambi za jeshi muda sio mrefu wataiga hii
Israel wanachukiwa sababu ya Palestine, yaani ukiwatizama Palestine na majengo yao kama una roho ya kibainadamu na ukaacha upuuzi wa kidini ,utaelewa wale jamaa wamepitia kipindi kigumu, tena kwa miaka zaidi ya hamsini ila mwaka jana ilikuwa too much. Yaani mwanajeshi wa kiyahudi anafanya gender reveal ya mwanae kwa kulipua bomu majengo ya Wapalestina.Yaani ukiwatizama Wapalestina mwezi huu wa Ramadhani wanavyo futuru wamezungukwa na vifusi, yaani wanaye mtegemea ni Mungu tu.Hivi mnajua Sasahivi Hawa Wa Israel wanapitia wakati Mgumu sana
Watu wanafichwa tu ila uhalisia jamaa Hawana Furaha kabisa.
Ukisoma Maandishi ya huyu jamaa unaona kabisa wanajua kabisa Dunia nzima Inawachukia wao
View: https://x.com/i/status/2033168682659021025
Hapa umethibisha huna akili Kweli ,You are so lame! And honestly, you’re dumb.
Come up with better lines than that tired old ‘I use to see you as smart’.
FOH you dumbass. Go suck your mother.
Wanasakwa Viongozi wa Israel mmoja baada ya mwengine washauwawa wengi tu.💩💩
Kwa ufupi Tehran haitasimama tena