Waambie wakuelewe maana wamejitoa ufahamu siku nyingi!!Sasa mkuu ulitaka wafanye nini, unajua lakini kwamba USS GERALD FORD ipo middle east? Ile USS GERALD FORD inaweza zima 80% ya anga la Iran kama sio 100%.
Ile ni Military Base na Command Post inayotembea baharini.
USS GERALD FORD inapigwa vizuri tu mkuu... ikihitajika kupigwa itapigwa tu.. Iran sio Venezuela.Sasa mkuu ulitaka wafanye nini, unajua lakini kwamba USS GERALD FORD ipo middle east? Ile USS GERALD FORD inaweza zima 80% ya anga la Iran kama sio 100%.
Ile ni Military Base na Command Post inayotembea baharini.
Linapokuja suala la vita, wananchi wanaiunga mkono serikali.Wakipiga hizo miundombinu nchi itajaa maandamano makali zaidi.
We jamaa huna uchambuzi wowote zaidi ya matusi na mihemko, huna facts, ni bora ukae uwe unasoma tu, si lazima kuchangia.Acha umbers hakuna radar iliyopigwa. Kama ipo tuwekee hapa tuone lakini najua ni uongo tu kutaka kumramba makalio Iran!!!
Hiyo ni kweli na liko wazi!, Najua Marekani akitoka tu Iran anaweza kuvamia nchi yoyote ya kiarabu. Uwepo wa Marekani huko umesaidia sana.Nchi zote za Kiarabu hazina uwezo wa kujilinda bila Israel na Marekani
Mimi sichangii chochote nasikilizia wachambuzi kutoka Nantumbo
Marekani hamna maslai yoyote ya maana TanzaniaMaombi ya Tanzania yanajibiwa Iran 😥
Huyo mkuu wa majeshi si angekuwa wa huku lakini jamani..!!
It's early to judgetime wili tell, but still unaona jinsi iran inavyopokea kipigo, hii regime inaangushwa mjuba jionee mwenyewe
Baada ya maandamano wananzengo hawaitaki kabisa Serikali ya kiislamuLinapokuja suala la vita, wananchi waniunga mkono serikali.
Huo ndio uhalisiaMarekani hama maslai yoyote ya maana Tanzania
Hivyo yawezekana bibi tunae mpaka 2035
Watu wanafikiri US anajali sana haki za binadamu 🤣🤣Huo ndio uhalisia
Na anafanya majukumu yake vyema kabisa.Kwa North Korea itakuwa ni ngumu mkuu kwa kuwa tayari ana nuclear bomu na anaweza kulitumia kama kinga ya vita. Pia North Korea sio tatizo sana kwa usalama wa Dunia na Marekani kwa kuwa anadeal na issue zake na raia wake.
Kinachomponza Iran azuiwe kumiliki nuclear nadhani ni tabia yake ya kufadhili vikungi vya kigaidi jambo ambalo Marekani anaona ni hatari kwa usalama wake na usalama wa dunia. Tupende tusipende Marekan ndio kiranja wa Dunia hivyo anapaswa kulinda usalama wa Dunia
Hana huo mpango kwani congo na sehemu za Nchi nyingine watu hawafi !?? Mbona haendi huko jibu ni jepesi tu maslahi yake hayajatishiwa Amani ,Watu wanafikiri US anajali sana haki za binadamu 🤣🤣
Muosha vyoo unatuletea story kutoka Tela Aviv za uwongo yuko hai huyo Kamanda.Ayatollah na Rais Maduro wako wapi? Maana waziri wa ulinzi wa Iran na yule Jaji aliyekuwa anahukumu waandamanaji kunyongwa nao wameangamizwa
Kuna mahusiano yanayo fanana, hata kama sio moja kwa moja ila huwezi kupinga kuwa hakuna relate kabisaSasa Tanzania na Iran tunafanana vipi. Ulinganisho wako ni invalid
Mkuu kwani Iran haitaki kuteketeza hio manowari inayowapa kiburi USA? Akipiga air craft carrier moja atapigwa kipigo ambacho hakijawahi kutokea duniani.USS GERALD FORD inapigwa vizuri tu mkuu... ikihitajika kupigwa itapigwa tu.. Iran sio Venezuela.
Magaidi wajinga sana wapigwe tu maana hakuna namna!!!Watu wanafikiri US anajali sana haki za binadamu 🤣🤣
Aaghh weee jamaa !? Kwani USA kaweza kufanya hivyo Kwa Russia!?Na hakuna anayeweza kujaribu kuwaza huo ujinga. Russia mwenyewe kashindwa.
Ila wewe jamaa kama Comical Ali.Muosha vyoo unatuletea story kutoka Tela Aviv za uwongo yuko hai huyo Kamanda.
Trump analia huko anasema hakutegemea Iran angepiga base zetu vile mara ya kwanza kwenye maisha yetu tunashambuliwa vile
View: https://youtube.com/shorts/pKiLCNKbCpc?si=AQ2V94ThvG8rpGPj