Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Influence ya US imeanza kupungua au kuwa more contested kuliko zamani.
Zamani dunia baada ya kuanguka kwa USSR na kufa kwa Ukomunisti ilikuwa karibu kama US-led system.
Sasa dunia inabadilika kuwa negotiated system ambapo nchi nyingi zina nguvu zaidi ya kujadili
Baadhi ya nchi hazitikisiki sana na vitisho vya Donald Trump kama zamani.

Dunia imekuwa more multipolar
Baada ya Vita Baridi, US ilikuwa karibu superpower pekee yenye ushawishi mkubwa. Lakini sasa dunia imebadilika.

Sasa kuna nguvu nyingine kama:
China yenye economic power kubwa sana
Russia bado ipo strong kijeshi Ulaya na geopolitics za ukanda wake
India ni growing strategic power kwenye BRICS
Kwa hiyo nchi nyingi zina alternative partners. Kama zamani US ikisema โ€œdo this or else,โ€ nchi nyingi zilikuwa na chaguo chache. Sasa zina options.

Trump mara nyingi hutumia very strong language kama vitisho, tariffs, sanctions, etc.
Lakini katika international politics, credibility ni muhimu. Nchi zinauliza:
โ€œWill he actually follow through?โ€
Kama threats zinatolewa mara nyingi sana, baadhi ya viongozi huanza kuziona kama negotiation tactics badala ya hatua halisi.

Nchi nyingine pia zinaangalia political divisions ndani ya Marekani.
Wanaona Congress, Mahakama, Elections cycles na inter-Party conflicts na sera zinavyobadilika mara kwa mara
Hivyo wakati mwingine viongozi wa nchi nyingine wanafikiri:
โ€œPolicy hii inaweza kubadilika baada ya uchaguzi.โ€ Kwa hiyo wanakuwa less reactive.

Nchi nyingi Asia, Africa, na Latin America (Global South block) sasa zinajiona sio lazima kufuata Washington kila wakati.
Kuna Trade blocs mpya , Regional alliances na Energy partnerships ambazo hazihitaji mkono wa US
Hii inawapa confidence kidogo ya kusema no.
Matokeo yake babu anabaki kulalama na kulaumu wengjne kwa vita inayomshinda
 

Attachments

  • IMG_7175.jpeg
    76.5 KB · Views: 15
Huyu jamaa Moja kati ya watu ambao napenda kumsikiliza speech na interview zake , watu wengi wanamsifu kuwa anajua kupangiloa hoja na kuongea kwa utulivu mkubwa .
 
The Mossad in a message to the Iranians: "Your final battle will begin soon. We are with you in the sky, on Earth, and in our hearts."
 
Miundombinu tena!?
Vita inaenda kuwa tamu!

Kuna uwanja wa ndege unaitwa Ben Gurion, huo ukila kiberiti itakuwa furaha yangu ya wiki.
huo umewashinda kama ingekuwa rahisi wangejibu toka siku ile airport yao iliyolipuliwa au hujui kama mpaka ile Boing yao ilishachomeka
 
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ LMAO: Iranian army says Trump should rename the operation to EPIC FEAR as the US army is afraid to approach

โ€œThe outcome of war cannot be determined by tweets! The results of war is determined in the field.

The very place where you and your forces do not dare to approach and you can only talk about it in your tweets.

It's better to name this war as epic fear, instead of epic furyโ€

โ€” IRGC Spokesman
 
Kubwa jinga linaendelea kubwatuka tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

BREAKING : Trump has finally admitted that UK ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง PM Kier Starmer has mentally destroyed him

"I wanted UK to send two aircraft carriers but looks like they weren't interested. I am not happy with UK" ๐Ÿคฃ

Pedro Sรกnchez ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ started movement which is now spreading across Europe ๐Ÿซก

View: https://x.com/i/status/2033624143216972261
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ