Yaani week 1 watu wote wameliwa
Hizo picha zilishatafitiwa na kuonekana za ZAMANI.
Dunia hii ya mtandao na teknolojia HUFICHI KITU.
Kama yupo hai kwanini hajaongea na kutoa tamko hadi sasa??
Kwanini ateuliwe wa kumkaimu?
Kuna shida gani hadi ateuliwe wa kumkaimu!?
Ni kweli Israel inaficha takwimu za vifo ,lakini pia Iran inazengua sana kushindwa kuwalinda viongozi wake hasa ikizingatiwa kuwa Iran ina jographia nzuri sana kwa kujilinda.
huwa sitaki sana kuamini ya kuwa elimu yenu inakuwa chini sana hata kama mngesoma chuo kimoja na wengine wa imani tofauti. ebu fikiria kombola la kasi ya juu la Iran linachukua dakika saba hadi nane kufika Israel wakti huo tayari rada za Israel zitakuwa zimegundua kuwa kuna hatari inakuja na kengele ya onyo hulia watu wengi wa eneo lengwa hukimbilia kwenye handaki lililopo karibu na hapo. kwa hiyo hata kama shambulizi litafanikiwa kupiga sehemu lengwa mara nyingi huwa iko tupu. kumbuka kuwa si kombora linalotishwa na Iran hupiga mengi huwa intercept er na mifumo ya Israel. tofauti na mashambulizi ya Israel kwenda Iran yanafanywa na ndege ambazo kwa wakati huu zinaingia katika anga la Iran pasipo na upinzani wowote hivyo hujichagulia wapi ziangushe mabomuUngekuwa unajielewa usingeuliza ulichouliza !!!
kwamaana msg yangu ipo very clear,
nimeongelea si tu Viongozi nimekuja pia kwenye Vifo vya raia nikatoa na mifano
Mamia ya mejengo yameporomoshwa kwenye miji ya Israel lkn Vifo ni 14 tu
sasa inawezekana vip ๐๐
jengo lenye Uzito mkubwa wa Zege+nondo yanashushwa mamia.lkn Vifo 14 ยฟยฟ
kwa Iran Vifo vya raia ni zaidi ya 1400+
manake Iran wanasema kweli na hawana Sheria ya kuzuiya ukweli..
Na Israel kashapiga promo kwa Walokole kuwa wao nizaidi ya Binadam wakawaika!!!
ndiomana Zege+nondo ni laini tuu !!!!
kufananisha na Binadam wa Kisrael ndio m'gumu sn kuteketea. ๐๐๐
Walokoleee oyeeeeee๐๐๐๐๐
za ndani kabisa leo usiku wamelenga spika wa bunge ngoja tuone kama watakuwa wamepita nae au wamemkosahuwa sitaki sana kuamini ya kuwa elimu yenu inakuwa chini sana hata kama mngesoma chuo kimoja na wengine wa imani tofauti. ebu fikiria kombola la kasi ya juu la Iran linachukua dakika saba hadi nane kufika Israel wakti huo tayari rada za Israel zitakuwa zimegundua kuwa kuna hatari inakuja na kengele ya onyo hulia watu wengi wa eneo lengwa hukimbilia kwenye handaki lililopo karibu na hapo. kwa hiyo hata kama shambulizi litafanikiwa kupiga sehemu lengwa mara nyingi huwa iko tupu. kumbuka kuwa si kombora linalotishwa na Iran hupiga mengi huwa intercept er na mifumo ya Israel. tofauti na mashambulizi ya Israel kwenda Iran yanafanywa na ndege ambazo kwa wakati huu zinaingia katika anga la Iran pasipo na upinzani wowote hivyo hujichagulia wapi ziangushe mabomu
Huna kitu kichwan! Na ***** ni baba yako! Kilaza mkubwa udini wa kipumbavu ndo umetanguliza kichwan.Wewe ***** nilishaku ignore usini quote.
Mbona hasira nyingi mkuu uliwabetia auUxeng.e wa iran ni kushindwa kuwalinda viongozi wake. Linchi likubwaaaa lakini....Qmamake zao
Sidhani kama wanashindwa kuwalinda mkuu au hawawalindi, ila Israel vita anapigana kila siku na anajua vzr kuziendesha ndomana anaua sana watu wa IraniUxeng.e wa iran ni kushindwa kuwalinda viongozi wake. Linchi likubwaaaa lakini....Qmamake zao
Aljazeera reports;
-Iranian Qeshm island is the greatest missile fortress of all,and major many strikes emerge from there.
Hili mbungi hadi liishe kazi ipo.
Ndiyo shida ya Iran, yร ani kumtangazia Adui mipango yake na pia military facilities zake.Sasa mbona wanatoa siri
MOSSAD?!!ยกยกยก.Yeye na waziri wa mambo ya nje hawapo kwenye list ya kuuliwa,hawataguswa.