Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kuna swali moja aloulizwa muwakilishi wa Pentagon DoD na Congress kuhusiana wametumia mabomu mangapi ,jamaa alikosa majibu. Kuna kituo kimoja cha researchers, kimechambua gharama wanakadilia kwa mda wa siku nne US katumia USD 20bil, katumia aina 35 ya mabomu huku akirusha mabomu 5197.Iran nae kwa siku nne ukipiga hesabu ya mabomu kuanzia mesile na Drone ametumia 2000+ na Interceptors 65.

View: https://m.youtube.com/watch?v=gXRGps-5_YwCIA veteran wakati akihojiwa na NBC,anadai anategemea hii vita itakuwa ni mda mrefu sana huku akiwasifia Iran kwamba,wanamifumo mizuri ya uongozi inaonekana wanajua jinsi ya kuachiana vijiti. Naona mkuu wa Counter Terrorism kachia manyanga,sababu hauni reasons ya US kumpiga Iran.Hii picha kama Movie bado haijaanza kabisa, wataalamu wa maswala ya Energy wanakadilia mpaka kugika may 15,nchi nyingi zitaishiwa akiba zao za mafuta na hii ngoma hii itatoboa miaka hata zaidi ya ishirini.Mrusi kama kawa amewambia kwake ukitaka mafuta ni mwendo Ruble.
 
jana usiku Hezbolla walirusha rocket zao kama kawaida kuelekea israel, wakati huohuo idf waliweza kulocate kwa haraka rocket zinapotokea, wakakaa mata idadi kubwa ya makombora na silaha zingine, pia wakati huo wakagundua njia za siri walizo kuwa wakingiza silaha kutoka iran kupitia mto laitan
 
From the Air and the Sea: IDF Completes Wave of Strikes Against Hezbollah Terror Organization Infrastructure OvernightThe Hezbollah terror organization launched dozens of rockets toward the territory of the State of Israel last night. In the IDF, an early buildup by the Hezbollah terror organization for intensified fire was identified, and Northern Command began disrupting and thwarting the launches. As part of the disruption efforts, several launchers, weapons storage facilities, and operational headquarters were struck. With the onset of the firing, in rapid closing of circles, launchers and launch squads that fired toward Israel were struck. This prevented a significant barrage toward the territory of the State of Israel.Shortly after the firing, the IDF began evacuating residents of the city of Tyre for their protection, and struck weapons storage facilities and headquarters of the Hezbollah terror organization that were located in the heart of civilian populationsβ€”this is another example of the Hezbollah terror organization's use of Lebanese civilians for terror activities.In addition, overnight, additional assets of the "Al-Qard al-Hassan" association, the financial arm of the Hezbollah terror organization used by the group to pay salaries to terrorists and advance terror plots, were struck in Beirut. Alongside headquarters of the "Hamasin" Division in southern Lebanon that were struck from the air and sea, the Navy struck a key terrorist in the Hezbollah terror organization in Beirut.Prior to the strike, steps were taken to minimize the chance of harm to civilians, including advance warnings, use of precision munitions, and aerial observations. The IDF will continue to act forcefully against the Hezbollah terror organization, which decided to join the campaign and operate under the auspices of the Iranian terror regime, and will not allow harm to civilians of the State of Israel.
 
Hawana tena uwezo wa kujificha, technology inawaibua walipo, artificial intelligence, secrets technology na high precision satellites huwezi kuzikwepa, wakishakuwa kuwa na picha yako or anything kukuhusu wanakugeuza digital copy, satellite πŸ“‘ ikipiga scanner kama uko around digital copy itaonekana unawekwa kwenye target forever no matter where you go, ndio maana wanawadondosha kama kuku, check military documentaries jamaa wanaeleza vizuri sana
 
Wacha weeee Mchambuzi huyo?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani wameshindwa vita ??
 
Wiki iliyopita Iran alitishia kupiga Nuclear Powe Plant ya Myahudi, baada kupiga viwanja vya ndege, vituo vya kuzalisha umeme bandari na Oil Refinery na hii baada ya Oil Refinery yake kupigwa. Sasa Myahudi kaipiga Nuclear Power Plant Iran,japo madhara sio makubwa, naona kabisa inawezekana tusimalize wiki akaipiga Nuclear Power Plant ya Myahudi. Jana wamelipua kituo chake cha gas,leo ametoa tangazo ,kwa makampuni yote ya Gas ambayo US anashare wajiandae.

View: https://m.youtube.com/watch?v=p_54hrfo2pE
Hii vita itafungua ukurasa mwengine kabisa, kama Nuclear Plant ya mmoja wapo ikipigwa ile kisawasawa, watu wa mji huo watapata madhara ya mda mrefu na huo mji utafungwa.

Naona Qatar ameshajiandaa mapema baada ya Iran kuwapa taarifa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=S1ycR9gm9dc
 

We mlokole utakuwa umeshiba migebuka!!!

yani kambi ya Hezbollah kuna IDF mwenye ujasiri wa kufika kwa miguu au kwa ungo???
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Journalist Yaron Abramovich, analyst of Channel 12 Hebrew:

  • No agreement, no matter how strong, can guarantee that Hezbollah will lose the ability to launch missiles, and at best the agreement will only postpone the launch of missiles to the next round.
  • "Israel" cannot eliminate the last rocket platform of Hezbollah, even if the army spokesman continues to report the destruction of hundreds of weapons stores and other elements, thousands of missiles and thousands of resistance fighters capable of launching them will remain in Lebanon.
 
Akasome history, even us anayo, kayatumia vietnam , baadae afganstan.
Labda ndio mara ya kwanza anasikia cluster bombs
MPYA πŸ”΄

Netanyahu ameagiza jeshi kumshambulia afisa yeyote mkuu wa Iran au Hezbollah mara tu baada ya kutambuliwa, bila idhini ya ziada.
we Neta wewe kwamba naona marubani wanachelewa mno kusubiri ruhusa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…