City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Tuoneshe amehojiwa wapi na nani!??Na huyo anayehutubia sasa hivi ni nani? naheshimu sana weledi wako ila mihemuko na Matusi inakudiscredit, hivi PM wa Israel kweli anaweza uwawa kwa hizo makombora yanayotokea huko yakeonekana na kujulikana yanatarget wapi kwa muda wote huo na asiwe evacuated?
Huna level zozote much know to wewe.Argue na wenzio mie sio wa level hizo..
Hakuna jeshi la ardhini lolote dunia linaweza kuzidi uwezo wa jeshi la anga, anayekupiga akiwa angani ni lazima awe mshindi hata nyie wa ardhini muwe bora kiasi gani.Israel ni bora angani ardhini sina uhakika
Vita vya Gaza nilivyo kuwa nafuatilia walikuwa wakipigwa ardhini ki hovyo sana bila msaada wa angani jeshi lao la ardhini halina maajabu kama la angani
Mbona Allah ameshindwa kumlinda Ayatollah?Marekani na Israel wakiingia sehemu hawapendi kukutana na upinzani hivyo hali wanayoipitia sasa inawauma hadi kwenye makalio.
Kinachotakiwa kwa sasa wakimbie hilo eneo alafu waboreshe uhusiano wao na muajemi ili waendelee kupata ugali pale mashariki ya kati.
Mungu wa wayahudi mwenyewe anatambua nguvu za muajemi sababu zama za kale alimtuma malaika wake apeleke ujumbe kwa Daniel akadakwa kwa siku 21.... Daniel 10: 13
Iran alikua ananzisha vita kupitia proxy wake yeye anakaa pembeni akakula kuku na mrija, Sasa wakaona wamfuate na yeye live aone na yeye utamu wa makomboraIsraeli ndio anayekosesha amani mashariki ya kati. Anajiongezea maeneo kwa nguvu kila kukicha na vita nyingi yeye ndio anayeanzisha.
Vita gani irani alianza kushambulia nchi yoyote?
Iran alivoshika tuu itikadi za kiislam mwaka 79 basi Moja wapo ya malengo yake ya kwanza yalikua ni kuifutilia Israel Duniani. Hapo ndo akaanza kuunda proxy za kupambana na Israel kama hezbolah. Viongozi wake wa kidini na kiserikali walishatangaza wazi wazi kwamba wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia. Iran isingeangaika na mambo haya ya kupambana na wayahudi asee kwa hapo mashariki ya kati hakuna taifa ambalo lingewakutia kwa maendeleo..wangewapita hadi uturuki. Sasa wao wamejifanya wanashika itikadi Kali za kidini ety yale maisha ya 50 50 kama wenzao wa turkey waliyakataa... Haya Sasa mwana kulitafuta mwana kulipataTangu 1979 Iran haikuwahi kuwa tishio kwa taifa lolote Middle east. Badala yake ilijitahidi sana kutaka kuunganisha uhusiano mzuri na nchi za gulf.Badala yake kila leo wamekua wakiisaliti Iran.
Misri wana akili kuliko wewe kijana,walitamka wazi kuwa kama waarabu hawatakua makini ikimalizwa IRAN basi nchi za kiarabu zenye nguvu zitafuata. Maana USA na Israel hawana urafiki wa kudumu na kuaminika.
Iran angekua mbaya basi hizo gulf state zingeanza kukandamizwa tangu mwanzo kwa kutumia Hormuz kama fimbo.
Ni kama Trump anavyotumia ufadhili wa NATO kama fimbo.
Nyie jamaa ni zero brain wengi wenu ni watupu kabisa kihistoria.Iran alivoshika tuu itikadi za kiislam mwaka 79 basi Moja wapo ya malengo yake ya kwanza yalikua ni kuifutilia Israel Duniani. Hapo ndo akaanza kuunda proxy za kupambana na Israel kama hezbolah. Viongozi wake wa kidini na kiserikali walishatangaza aazi wazi kwamba wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia. Iran isingeangaika na mambo haya ya kupambana na wayahudi asee kwa hapo mashariki ya kati hakuna taifa ambalo lingewakutia kwa maendeleo..wangewapita hadi uturuki. Sasa wao wamejifanya wanashika itikadi Kali za kidini ety yale maisha ya 50 50 kama wenzao wa turkey waliyakataa... Haya Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata
Strong censorship & 1 side propaganda iko active.Mpaka sasa hakuna uzi wa kueleweka wa Iran kuishambulia Israel/USA π
Makobaz wenzangu wanaishia kutoa fununu tuu mtu fulani amekufa, huku wao wakipelekewa moto usio na fununu π
Base gani haijashambuliwa? Labda Jordan na Syria huko ambayo ipo mbali na Iran, Unajua maana ya kila MTU ajilinde anavyojua yeye? Sio Tu base zimepigwa Bali Askari wa USA wanawindwa mtaa kwa mtaa, wakienda hotelini ama popote wakionekana Shahed zinakuja kupiga ndio maana Balozi za Marekani zikatoa tamko kila MTU ajilinde mwenyewe.
View attachment 3560160
Hawa wanajeshi wa marekani ndio maisha Yao sasa hivi wanajificha kwenye shelters wanasubiri Tu kupoe wakaokolewe. Hakuna tena Jeshi systematic hapo.
Balozi na kambi za Saudia, Iraq, Bahrain, Kuwait, Qatar na Emirates kote kumepigwa Sana. Kuna kambi zimepigwa watu wamekimbia kabisa, kila siku drones zinapita juu na kupost video online.
Waziri Mkuu wa Japani,Takaichi,kamuuliza Trump kwanini hakuwapa taarifa mapema washirika wake wa Ulaya na Asia kama Japan,Trump kamjibu hiyo ni surprise kama Japan ilivyoshambulia Pearl Harbour bila taarifa kwa Washirika wake.
Wana miundombinu mingi iliyo sehemu tofauti, haiwezi kuisha kwa 100% kwenye hizi wiki mbili. But muda unavyoenda na waavyoshambulia wana uhakika watamaliza kwa 100%
Mbona Allah ameshindwa kumlinda Ayatollah?
Makombora machache ni mangapi ili tauanze kuhesabu!?π₯π₯π₯
Netanyahu: Iran imekabiwa na makombora machache
Halafu kuna watu wanakwambia wamelikamata anga,yaani mtu anajichagulia apige wapi halafu mashambulizi yote hamna lilokuwa intercepted, US anatamani arushe taulo ukubwa ndio unamfanya ajikaze.Iran siku ya jana na leo kafanya matusi sana dhidi ya intelligence ya Trump!
Kwanini?
Eeeeh bwana eeeh, jana Israel ilifanya shambulizi dhidi ya mitambo ya kuzalisha nishati ya gesi katika taifa la Iran.
Iran wala hawakulialia, ila walikuja na tangazo kwamba, miundombinu ya nishati ya Israel na washirika wote wa USA hapo mashariki ya kati itashambuliwa na jeshi la Iran.
Oyaaaah, Mungu si Athumani, jioni ikaingia, Waajemi wakaanza kutimiza ahadi waliyotoa.
Mitambo ya mafuta Kuwait ikapigwa, mitambo ya mafuta Saudi Arabia ikapigwa, Qatar nao hawajaachwa, mitambo ya nishati ya gesi imebondwa, leo wamemaliza kwa kuwatembelea Wazayuni, mitambo ya mafuta ya Haifa imelambishwa cheche.
Bila kusahau, leo ndege ya kivita inayopambwa sana na mashabiki wa USA, F-35 ilitaka kutamba kwenye anga la Iran, ikapapaswa.
Haya yote ni matusi, jeshi ambalo Trump anasema amelimaliza nguvu kwa asilimia 100 linatangaza kufanya mashambulizi maeneo specific, tena hayo maeneo yana ulinzi wa kutisha wa anga, bila kupepesa linafanya kweli mashambulizi na kuzifikia target, oyaaah hapa Trump ameyakanyaga.