baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Iran kamuingiza CNN Hadi missile city, data za USA, Uturuki na Iran wenyewe zote ni almost same kuhusu Idadi ya vifo.Sio wanaongeza idadi ya vifo kwanza wanaficha ndio maana unaona idadi ya vifo kama imeganda hivi, acha kutulisha Matango pori, hizi habari hufatilii pekeako hata akiuawa kiongozi mkubwa bila Israel kusema Iran anajizima data anakuja kama kuconform tu... Shirika la new agency linasema wananchi waliokwisha uawa ni zaidi ya 3k na wanajeshi zaidi ya 5k hiyo inakuwa mara mbili kupita hata red crescent Iran hawana hata shelters na muyahudi kutwa anashambulia acha kujifariji Israel raia hawajafa wengi kama Iran na kama ingekuwa hivyo basi wangeshaomba ceasefire mapema, hadi saivi muajemi kazima internet wiki ya 4 hii taarifa zisitoke Al Jazeera anazitoa et wanatishia kumshambulia
Ulikuwa mbele ya mudaBen Gurion airport, Dimona nuclear power plant na Dimona nuclear research center!!!
Hivi Iran ana mpango gani na hizi targets!?
Sina uhakika kama wanajifunza jambo lolote la msingiJwtz mnajifunza kitu chochote kupitia vita hizi?
ππBreaking news Aljazeera;
-Six killed in Qatar after millitary helicopter crashes.
Bado hatujaona wanavyopasua matofali,tukiona tutakujibu comment yako mkuu!!Jwtz mnajifunza kitu chochote kupitia vita hizi?
π€£Nasikia Kobazi wamekiwasha sana usiku huu.
Ngoja tusubirie majibu ya KAFIRI
Umeshaona Kuna kuvunja matofali huko kaka !?Jwtz mnajifunza kitu chochote kupitia vita hizi?
Iran kushambulia Dimona kitaalamu ni ujumbe katuma kuwa..
Ana makombora yenye uwezo kuliko wapinzani wanavyodhani.
Kwa sababu Amepiga eneo lililokaribu zaidi na kituo Cha nyuklia Cha Israel eneo ambalo Lina ulinzi mkubwa kuliko, Tafsiri yake anawaambia mazayuni kuwa hamko salama makombora yangu Yanaweza piga high-value targets ikiwemo vituo Vya nyuklia.
Kwahiyo amewapa message mbili kwa mara Moja...
Nina makombora yenye uwezo wa kupiga kwa usahihi maeneo nyeti na uwezo wenu wa kulinda anga hautaweza zuia makombora hayo.
Yaani kawaonyesha kuwa anga lenu halipo salama kabisa.
Hitler alikuwa anapendwa na kuungwa mkono sana na wajerumani kwakuwa alikuwa kiongozi mwenye maono,mchapakazi na alikuwa mcheshi anacheka na kila mtu hiyo ndio haiba yake kuu..Hakuwa dikteta kwa wajeruman yeye ugomvi wake ulikuwa kwa wayahudi tu kwasababu walikuwa washenzi kama tunavyowaona hivi sasa walivyoHistory huandikwa na washindi hata kama wao ndio washenzi hawawezi kujitaja sana sana watajisifia tu na kuwataja wapnzani wao kuwa ni wakatili kumbe makatili ni wao
Ni kama namna ambavyo pharaoh alivyo zungumzwa katika dini ule wote ni uongo mtupu , ni kama jinsi ambavyo tulivyo kuwa tuna danganywa na Nyerere mashuleni Tulikuwa tuna muimba iddy amini kuwa anakula nyama za watu π€£π€£
Power of propaganda
Zamani Poland ndio ilikuwa nchi inayoongoza kuwa na wayahudi wengi zaidi ya million 3.Ukiachana na Holocaust baafa ya vita kuisha na Poland kuwa na sera za Ujamaa wayahudi waliwekewa vikwazo sana hali iliyowaforce wahame wemg waende Marekani na sehemu nyingine ikiwemo Israeli ambapo familia ya Netanyahu iliendaComment za netizens kwenye mitandao mingi zinaonyesha chuki kali dhidi ya waisrael.
Hawa jamaa wamekuwa na kiburi cha kupitiliza
Wamesusa uzi kwa muda!Pro Israel pro USA mbona siwaoni !?
Huwaga mnashangilia kiongozi wa Iran akifa utadhani kwamba ndio mnakuwa mmeshinda vita π
Imekuwaje Tena Leo Uzi mmetususia !! !? Mnaumwa !! Hatujawazoea hivyo
J nini!?Jwtz mnajifunza kitu chochote kupitia vita hizi?
Aisee Wamempaka matope sanaHitler alikuwa anapendwa na kuungwa mkono sana na wajerumani kwakuwa alikuwa kiongozi mwenye maono,mchapakazi na alikuwa mcheshi anacheka na kila mtu hiyo ndio haiba yake kuu..Hakuwa dikteta kwa wajeruman yeye ugomvi wake ulikuwa kwa wayahudi tu kwasababu walikuwa washenzi kama tunavyowaona hivi sasa walivyo
πππ Report inatoka kaumia kijana mmoja Tena kapata stretch tu kidogoWatu wa Israel nadhani ndo watu pekee wenye miili ya chuma hapa duniani maana kombora linapiga na kusambaza mtaa mzima ila hakuna anaye kufa bali wanajeruhiwa tu.