Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nadhani una miss strategy vs maendeleo ya kijeshi.
Ukraine faces with the same issue walipokua wakitumia strategy na vifaa vya mmarekani, havikuwasaidia until walitengeneza solution zao (drones ambazo zina hunt shahed), na wamefanikiwa kiasi kwamba us want to copy them

So ishu ni strategy, us hakujiandaa against low cost low flying object kama hizo.

Yes wana latest systems in the world lakin strategic wise hawakuwa wemefikiria.

This is why ukraine anaonekana muhim maana alishakuja na solution
 
Mlokole mavi Yule pumbavu kabisa na viemoji vyake vya milipuko mikubwa
Halafu na tupicha twa zamani kutoka mitandaoni
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Netanyahu ametembelea eneo la arad ambapo Jana lilishambuliwa kwa makombora na Iran
View attachment 3561410
Tuliambiwa amekufa kumbe bado yupo hai, lete updates mkuu huu uzi wote hapa wanakutegemea wewe ndio mwenye vyanzo vya uhakika

πŸ’₯
 
Tatizo Cristian wa uko waoga sana American sawa na wa Africa au Ulaya Magharibi laini laini sana kufa waoga sana..!!!

Cristian wa Ulaya Mashariki ndio ngangari sana.kama uko Russia Ukraine Belarusian Nk.
Sio walizingua yule raisi walikuwa hawamtaki maisha walikuwa choka mbaya saivi afadhali, ni sawa akienda ivamia Cuba ambayo saivi hata umeme ni tatizo unahisi atatumia nguvu kubwa!!
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi saheb e zaman Isfahan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…