Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kobaz mnatamba ehh
 
Pro-Iran ni watu wajinga sana! So far sioni kitu cha maana Iran wameachive! Zaidi ya kubomoa vijengo hapo Middle East na sehemu za Israel!! Kwao viongozi wanateketea kila siku,kambi za kijeshi kwisha habari yake,navy kwisha habar yake,viwanja vya ndege kwisha habar,refinery muhimu kwisha habar,viwanja vya drones na missiles kwisha habari!! Kilichobak ni kurusha vikombora kutoka 100+ kwa siku mpaka 5??? The beginning of an end.
 
Kama hayo yote ni kweli, kwa nini sasa Bibi anaomba msaada?

 
MOJITABA ndio israeli mtoa Roho mwenyewe wa Mashoga wa Israel.
ayatollah khemenei alituchelewesha sana sababu ya huruma zake.
Huyo mojtaba ni shoga hukuona headlines last vyombo vya habari vikubwa vyote vimeripoti
 
Sasa huoni comment yako inaprove point yangu?

Asymmetric warfare anayofanya Iran imechange Dunia nzima, including wao Ukraine, na Ukraine kubadili strategy Ku opt cheap warfare kunaonesha ni kweli Iran amebadili vita vinapigwana vipi Duniani, Ndege Meli, snipers, mabomu ya Ardhini na strategy kibao za zamani zinapitwa na wakati, missiles, Drones as cheap as possible zinashika Kasi,

Leo hii kuna Makabila huko Iraq, vijijini kabisa hata ushamba haujatoka vizuri now wanavamia kambi za USA na kuzitandika na kuondoka,
 
Taarifa za nini nae kama anapiga apige tu
 
Sio walizingua yule raisi walikuwa hawamtaki maisha walikuwa choka mbaya saivi afadhali, ni sawa akienda ivamia Cuba ambayo saivi hata umeme ni tatizo unahisi atatumia nguvu kubwa!!

Cuba sio poa ndugu ni Wazalendo kinoma chunguza kitu ichi uwelewe Je

Kuna Maandamano kuusu umeme !!?

wanajua Tatizo ni Marekani kuzuiya mafuta !!!

na Tatizo lengine Iranian ingepeleka wese lkn nayeye kabanwa na hii Vita.

Lkn wananchi wa Cuba wapo kimyaaa. Zaidi ya 1 Week sasa✍️

Kama ingekuwa kwengine sasaivi watu wanachoma Majengo ya Serikali
 
Kuna wakati Makafiri wanakiwasha, na Kuna wakati Kobazi wanachafukwa wanawasha Moto.

Tofauti ni kwamba, kobaz hawatoi sana milio hata wakifinywa, Ila makafiri yanatoa milio sana sana na mauongo uongo kibao. Utasikia wamejeruhiwa watu wawilli tu.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…