Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

US na Israel wanatapatapa, wanajaribu kutumia kila njia kuiangusha Iran, maandamano Iran si mara ya kwanza, lakini Israel inapoingia kushambulia wananchi wanamuunga mkono Ayatollah...
Mbumbumbu lingine hili hapa, ngoja nikufahamishe kwa kifupi, kwa mfano una ugomvi na jamaa yeye anaishi kibaha wewe Tabata...jamaa na timu yake wanatoka kibaha wanaweka kambi nyingi hapo Tabata wanaanza kukubokoa, wewe kazi yako kujihami hushambulii na ukishambulia inashambua kambi zao ila kwao Kibaha kuzima - sasa kuna vita hapo ndugu ama kubokolewa.

Nilitegemea muda huu ballistics missile zishatua Washington DC.

Acheni ujinga wenu, hapo hamna vita ni US anataka kumshikisha mtu adabu.
 

Upo sahihi.
Naamini baada ya Ile vita ya Siku 12 Iran iliona umuhimu wa kuwa na Nuklia sio ajabu Siku hizi chache ilikuwa inafanya himahima. Lakini Wamarekani ni kama hawataki hilo kutokea
 
ila pwagu na pwaguzi ni watu ndezi sana aise,

mnashauriana nonsense na mnaelewana kinyama dah,

kumbaf sana aise
Yeah , tunaelewana mno , ila wewe mmbulu watakupaka mafuta , wewe ni kibaka tu huna lolote kawadanganye wanaosinzia
 
Una habari kama Marekani kapoteza wanajeshi maji 13 nchini Bahrain!??
Na support navy fleet moja imezamishwa tayari ikiwa na askari ndani yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…