Hili linaweza kuwa kweli kwasababu kuu 2.Ameongea na Italia iwaombe Iran kusimamisha vita π€£π€£
Majinga sana propaganda nyingi uhalisia 0Hivi ina maana hata hizo missiles zimefika Israel si hypersonic..
Nini maana ya kupaki manowari na destroyers karibu na Iran..
Ina maana hata cruise missiles wameshindwa kuzipangua?
Aisee hii ni hatari..
Uislam na waumini wake wamejaa uongo na propagandaIsrael inazidiwa strategies hata na hamas..
Unaelewa 12 days war, Israel iliiomba US kuongea na Iran kuhusu kusitisha vita? Iran ikaipiga Israel shambulizi la mwisho ndipo wakakaa mezani.
Ina maana Israel ingejibu Iran ingejibu na vita ingeendelea, kwa maana ile Israel alikubali vita isimame...
Usije kusema nawadogosha Israel, kitendo cha hamas kuficha mateka ndani ya Gaza hadi Israel ikakubali kuachia wafungwa wa Kipalestina uelewe Israel ilizidiwa intel na strategy...
Israel ni wazuri kwenye intel, covert operations na kufanya sabotages, ila kivita ni weupe, strategies za kivita weupe..
Uislam na waumini wake wamejaa uongo na propaganda
Israel Aliua All top IRGC commanders na Bado unakuja hapa unasema Israel alipigwa π
Weka picha hata Moja nioneshe kamanda yoyote wa Israel alieuliwa na hao wahuni wa Iran
Kuua top commanders ndio kushinda vita!?Uislam na waumini wake wamejaa uongo na propaganda
Israel Aliua All top IRGC commanders na Bado unakuja hapa unasema Israel alipigwa π
Weka picha hata Moja nioneshe kamanda yoyote wa Israel alieuliwa na hao wahuni wa Iran
Mwanzo ulikataa hii taarifaπ₯π₯π₯
Moja ya madhara ya makombora ya Iran yaliyorushwa huko Qatar, mashambulizi hayo yameharibu radar kwenye kambi ya marekani
View attachment 3550091
naheshimu maoni yako!Hakuna taifa teule la Mungu,vinginevyo huyo Mungu atakuwa si mtenda haki,hii vita acha mwenye nguvu ashinde lakini usimtie Mungu kwenye vita isiyojulikana kichwa wala miguu
Trump anataka kucheza kula mbakishie baba na mzee wa uswazi Ayatollah.Habari zinasambaa kuwa Trump ametaka usitishwaji vita kupitia Italy.
Hili sijui kama lina confirmation wacha tuone.
China Hana dini Ambayo siku moja wanapanga kuja kuitawala Dunia na atakaepinga atauawa.Mkuu hii dunia haijawahi kuwa na huruma bali kinacho angaliwa ni maslahi tu.
Iwapo Iran itafanikiwa kuchomoka kwenye huu mtihani anatakiwa kufanya afanyavyo kuhakikisha anapata silaha za nyuklia ili kujihakikishia usalama wake tofauti na hapo wataendelea kumuandama na mwisho wa siku watafanikiwa kumuangusha.
Huwezi kuwa mpinzani wa sera za Marekani na washirika wake alafu isiwe na silaha za maangamizi utegemee kubaki salama.
Nina kuhakikishia china π¨π³ ingekuwa haina silaha za nyuklia wangekuwa walisha ivamia na kuisambaratisha.
Chezea mahaba!!!Mwanzo ulikataa hii taarifa
mnajiandikiaga tu, yaani ipige tu bila kupigwa?Iran si mchezo, inatuma salamu kambi zote kwa wakti mmoja.
Wakimaliza hapo inaanzwa Tel Aviv, na hii vita ili kusudi waombe cease-fire, Iran iitandike Israel mpaka wananchi watoke mashimoni kama zombies...
Funny thing Umuelezea exactly Israel,China Hana dini Ambayo siku moja wanapanga kuja kuitawala Dunia na atakaepinga atauawa.
Na yeye angekuwa jihadist tungemlamba kichwa.
Yeye aendeleee kuwa global manufacturing house power