Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Kama upo Dubai, kaa kimachale. Kuna Drones nyingi zimetumwa zinapiga majengo hasa hotels
Iran walishasema, kitu chochote kinachomilikiwa na USA hapo middle east kitakuwa legitimate target, zingatia neno kitu chochote!!!
Safari hii Trump amejua kuutomba moto.
 
Tukio linalosubiriwa Kwa sasa ni unyakuo KWANZA
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel inashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
 
Issue ni programs za kurutubisha Neuk hazitafika kokote


Huwezi kuwa na Taifa linalopanga kufuta Taifa lingine.


Kingine usichojua serikali ya kiislam ya Iran muda huu Inaliwa rada na maadui wa ndani ya irani. Usishangae kikatokea kile kile cha Libya.


US na Israel wako kusaidia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…