🤣🤣🤣🤣🤣 sasa wese la nini apo ?Iranian kafanya MAREKANI wapange kuvunja ndoa yao na NATO
Kwasababu unafuatilia humu tuu ila tel aviv na kambi zote za US middle east no moreMbona kama tunapgwa sisi tu?
PointKipaumbele cha iran sio kuuwa viongozi. Kipaumbele cha Iran ilikuwa ni kulipua base zote za marekani zilizopo mashariki ya kati na kuufunga huo mlango wa bahari
,😂🤣😂🤣😂😂🤣😂🤣🤣😂Trump says US will leave Iran 'whether we have a deal or not'
Trump says US will leave Iran 'whether we have a deal or not'
The president says any deal with Tehran is "irrelevant" to when the US leaves the conflict, claiming that day could come in two to three weeks.www.bbc.com
Kwisha habari yaoooo.US will 'leave' in 'two or three weeks', Trump claims
Trump suggests the US will "leave" Iran in "two or three weeks".
He says he had "one goal" - that Iran can have no nuclear weapons, and says that has been attained.
Published at 01:06
Trump says US will leave Iran 'whether we have a deal or not'
The president says any deal with Tehran is "irrelevant" to when the US leaves the conflict, claiming that day could come in two to three weeks.www.bbc.com
Sijui wanatuonanaje Hawa!?Huu sasa ndio ukisikia UCHAWA
Huyu msenge anatetea kibarua chake kwa Trump na anasema Regime change in Iran imeshakamilishwa kwa kumuua Ayatollah na nafasi yake kuchukuliwa na mtoto wake
Literally😂
View attachment 3565452
Kwasababu unafuatilia humu tuu ila tel aviv na kambi zote za US middle east no more
Ndugu Kuna vitu vingine msiwe mnahitimisha.Hii vita inamaneno mengi ya uongo.
Tangu wiki iliyopita walisema base zote za USA zimepigwa na zimeisha.
Kumbe bado zipo.
Pia walisema wamepiga makombola yote ya iran na yameisha. Cha ajabu iran bado anarusha makombola.
99% yanayosemwa ni uongo
Wajeremani TU tayari wameshaanza kuwaambia waondoke.Tayari ameshapoteza kaka wapoteze mara ngapi Mzee !🤣🤣
Ni kama walikuwa wana subiri vita ianze wapate kuona panapovuja na nikweli wamejionea vyema kitendo Cha base 21 kupigwa na hizo intercept kupigwa kimewavua nguo sana Tena sana , na wanavyozidi kuhangaika kuomba sehemu ya kuweka base zao ndio kabisaa wanazidi kujiharibia cause wenye Akili lazima wajiulize siulikuwa na base zako pale middle east zimekwenda wapi !? Je unataka na sisi utuponze kama ulivyo waponza wenzako kile middle east
Kwasasa Israel inapigika Vibaya mana mapacha wa3 wapo kazini!!!
Netanyahu wa AI. anadai yeye hawezi kusema lini Mwisho wa Vita!!
lkn kutoka kwenye Moyo wa Israel wanatamani ndani ya sekunde 1 tu Vita visimame!!!!
Sababu kuu zipo kwa pande zote mbili yani Marekani na Israel kwasasa hawana malengo muhimu ya kushambulia !!!
viongozi wameuwa kama wote ukija military Bases muhimu wamepiga !!
so wako kwenye Vita Sababu Vita avijasimama na wanashambuliwa ivyo ndio mkwamo ulipotekoea
Netanyahu w AI.
yeye ndoto yake kuwauwa viongozi wa Iran tayari Alifanikiwa sasa kuzima Vita ndio kipengere kilicho nje ya uwezo wao.,
🤣😂🤣😂🤣😂 Bonge la jibuMeli za marekani zote zimeondoka katika pwani ya Iran. Wenzetu huwa mnafuatilia habari mnazozipenda tu, fuatilieni taarifa zote ndio mtajua ukweli, vyengunevyo mtaamini propaganda.