Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Eneo ni pardis phase 4. Pia Kuna assassination operation imefanyika hapa
Walikua wanakutukana bure tu bro kwa kutoleta mara kwa mara updates za Iran kupiga Israel
Kumbe hakukua na mashambulizi ya mara kwa mara kama walivyokua wanataka
Imagine kaja mtetezi wetu ndugu Intelligent na yeye anasimulia mambo ya houth kuwait iraq

Wakati sisi tunataka kusikia tel Aviv Jerusalem Haifa
 
US na Israel waliahidi leo Jumanne watafanya mashambulizi makubwa zaidi.

Wale wa vitaarifa vya vikatuni, AI na udini hebu kaeni pembeni kidogo waacheni wataalam wa updates.
 
Hatari kubwa.
 
Hajui hata moja hapo. Ila anavyoshupaza shingo sasa?
 
Na kuna watu watakwambia Trump ana utimamu wa akili.
 
Kwenye Hii vita ni Israel na Iran ndio walijiandaa kupigana.

Hizi nchi za Gulf ni wazembe sana. Saudia kubwa jinga sana.... Subiri siku Israel ikamuamulia
Saudi Arabia ana ugomvi na nani hadi ajiandae kupigana!?
Mbona point dhaifu hii haina mashiko!?
Unataka watu waingilie ugomvi wa Israel kwa upumbavu wake!?
 
Tel Aviv,Haifa,Kiryat Shmona,Manama hizi zipo wapi kama sio Israel? Hujaona jamaa akileta taarifa zake hapa?
 
Kama kawaida kumekucha tenaa..... wambele wainame wanyuma tupate kuona..
 
Tel Aviv,Haifa,Kiryat Shmona,Manama hizi zipo wapi kama sio Israel? Hujaona jamaa akileta taarifa zake hapa?
Tulikua tunamdai jamaa alete mashambulizi sawa sawa na mazayuni
Kumbe Iran haikua ikishambulia mara kwa mara

Nmeona mdau wetu Business Intelligent na yeye kaleta mara 2 tu siku nzima
Kwahiyo matusi alikua anaporomoshewa bure tu.
 
Issue ya rescue operation inaonekana U.S alipata hasara.
Trump kasema yoyote atakaye iongelea rescue operation in a negative way atamshtaki kwa sheria ya national security
Kwenye kambi zote zilizopigwa na balozi zao napo wamezuia upigwaji wa picha na kuripoti hali ilivyo na hii kauli Trump kuwapiga mkwala anaitamka kwa mara ya pili, hata Secretary of Defence nae alishawahi kuwapiga mkwala waandishi wa habari.
 
Nimesikiliza mwanzo mwisho hakuna sehemu kasema hivyo
Issue ya rescue operation inaonekana U.S alipata hasara.
Trump kasema yoyote atakaye iongelea rescue operation in a negative way atamshtaki kwa sheria ya national security
siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…