Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Alaaa! Kumbe mnakubali kuwa mchokozi hapo ni Marekani na Israel eh?Kinachotushangaza sisi ni Iran aliyechokozwa na kuuliwa viongozi wake wengi tu harafu anakubalije ceasefire wakati mwanzoni alikataa katakana na Jana tu alifuta mazungumzo yoyote na Marekani, Tunashangaa imefika usiku kukubali ceasefire hii inaonyesha ni jinsi gani Iran ilivyo dhaifu!!!
Israel hawezi kupigana vita peke yake dhidi ya Iran.Hii vita wawaache Israel vs iran tu mtu beee aloooo kuna pipo watavaa pampers daily
Jana ulileta updates nyingi za assassination operations dhidi ya Iran huko Tehran.Hata Iran amepoteza Askari wengi na vibgu vya thamani.
Nimeconcentrate na Khamenei sababu alikua kiongozi mkuu pia Iran ilitangaza jihad
Aljazeera reports;ISRAELI OFFICIAL:
Iran agreed to reopen the Strait of Hormuz without securing key concessions.
“Iran ‘is opening the Strait of Hormuz without getting any of its demands it advance, such as a commitment for a final end to the war, reparations, the removal of heavy sanctions against it and more.’”
US “coordinated in advance” with Israel on a two-week ceasefire and will continue pushing demands on Iran’s nuclear program and missile capabilities.
Unalijua na nani? Hao viongozi wanaouwa Iran unadhan anawauwa US? Hao Hezbulah, Hought na Hamas ambao muda wote Israel huwa anawachapa unahisi hao sio Iran. Iran anachojua ni kurusha makombora na Israel anachojua ni ku hit target has viongozi sasa hapo nani anapta hasara? Hivi unafahamu gharama ya kumuuanda kiongozi awe wa jeshi au wa kiraia?Israel hawezi kupigana vita peke yake dhidi ya Iran.
Hilo wote tunalijua na wala si siri.
Israel haiwezi kupigana vita peke yake dhidi ya Iran na ikashinda.Unalijua na nani? Hao viongozi wanaouwa Iran unadhan anawauwa US? Hao Hezbulah, Hought na Hamas ambao muda wote Israel huwa anawachapa unahisi hao sio Iran. Iran anachojua ni kurusha makombora na Israel anachojua ni ku hit target has viongozi sasa hapo nani anapta hasara? Hivi unafahamu gharama ya kumuuanda kiongozi awe wa jeshi au wa kiraia?
Enheee kwaio una jeshi imara kuliko la iran? Wacha weeee mchambuzi kutoka hungumalwaIla mkumbuke shilingi 1 ya Tanzania ni sawa na laki 3 za Iran🤓
Achana nae uyo ni lijinga flani ilo la taifa teule tena ni lijinga haswaaaUzuzu ni ugonjwa!