Masharti mengine ni yapi?
Na Marekani itatekeleza masharti gani katika hayo makubaliano?
Au aliyepewa masharti ni Iran tu?
Haujafunguliwa ndio maan Trump anatishia kuwa ceasefire ya wiki mbili ataikatisha Kama Iran haitofungua Hormuz
So Acha upotoshaji kijana
Sasa hau Iran toka wameanza kupigana na Israel nitajie hata kamanda mmoja au kiongoz mmoja waliouwa wa Israel zaidi ya kuuwa raia sasa Israel akiamua kujirushia makombora hovyo huko Iran unajua madhara yake? Wewe uliona wapi nchi inapigana vita inatumia raia wake kama ngao kwenda kulinda madaraja ni sababu wanajua Israel hawezi kupiga raia. Yaani leo serikali ya Iran inaheshimu na kuwapigia raia wake magoti kisa Netanyahu.Israel haiwezi kupigana vita peke yake dhidi ya Iran na ikashinda.
Israel wanalijua hilo, mimi nalijua hilo, Marekani inalijua hilo, washikaji zangu wanalijua hilo…..
Iran anapigana peke yake dhidi ya nchi mbili zilizo na mabomu ya nyuklia lakini bado yupo na anatembeza kichapo!Sasa hau Iran toka wameanza kupigana na Israel nitajie hata kamanda mmoja au kiongoz mmoja waliouwa wa Israel zaidi ya kuuwa raia sasa Israel akiamua kujirushia makombora hovyo huko Iran unajua madhara yake? Wewe uliona wapi nchi inapigana vita inatumia raia wake kama ngao kwenda kulinda madaraja ni sababu wanajua Israel hawezi kupiga raia. Yaani leo serikali ya Iran inaheshimu na kuwapigia raia wake magoti kisa Netanyahu.
Na Mimi nina swali kwa nini US akabuli ceasefire bila malengo yake ya vita kutimia ?Nina swali moja, kwa nini kila baada ya muda iran inavamiwa wanapigana alafu baada ya muda wanakubali ceasefire?
Khamenei kauliwa, larijani kauliwa, top generals wameuliwa. Why wanakubali ceasefire? Wamelipa kisasi?
Ametembeza kichapo kwa nani na amepiga nini zaidi ya majengo huku yeye serekali imemalizwa. Ni hurumu tu ya Marekan na Israel ila kwa sasa wangeweza kuteketeza kila kitu hapo Iran ni vile wana huruma na raia wa Iran sasa kama wameweza kuwauwa viongozi wanaojificha vipi kuhusu miundombinu?Iran anapigana peke yake dhidi ya nchi mbili zilizo na mabomu ya nyuklia lakini bado yupo na anatembeza kichapo!
Ni lini Israel imepigana vita na Iran ikiwa peke yake bila kupigwa tafu na Marekani?
USA ndio kiranja wa dunia mkuu ila kuna watu wanajidanganya na kudanganywa kuwa imepoteza hiyo nguvu. Jana karibu dunia nzima ilikesha kusikilizia Trump atawafanyaje Iran. Tunahamka asubuhi tunakuta Iran kafungua mfereji.Fungua strait of Hormuz ntawarudisha stone age kunakucha mapema asubui meli zinapita bila shida
Serikali ya Iran haijamalizwa! Serikali ya Iran bado ipo madarakani.Ametembeza kichapo kwa nani na amepiga nini zaidi ya majengo huku yeye serekali imemalizwa. Ni hurumu tu ya Marekan na Israel ila kwa sasa wangeweza kuteketeza kila kitu hapo Iran ni vile wana huruma na raia wa Iran sasa kama wameweza kuwauwa viongozi wanaojificha vipi kuhusu miundombinu?
Shekhe adriz abu ubaydah yupo hai na ametoa speech juzi.Huyu jamaa Echolima1 sio Elimu tu hata akili hana , jamaa ndio King of fake news mpaka Jamii check wanamtambua .
Jamaa aliwahi kupost fake news msemaji wa Hamas ameuwawa , baadae anaonekana yupo hai ikapita miezi kadhaa akauwawa kweli akaleta habari tena kuwa ameuwawa , nikamuuliza mtu snakufa mara mbili mara ya kwanza si ulisema ameuwawa na tulivyosema fake news ukabisha sasa kwa nini unajiContradict mwenyewe na kuleta habari nyingine na Tarehe mpya ya kifo chake ?
Jamaa hakujibu hoja na kuanza mambo ya wafuga madevu na majini , sasa unajiuliza mtoto wa Kiume inakuwaje unaona wivu ndevu za Mwanaume ambazo ni identity ya Wanaume na Yesu anayemuamini alikuwa na ndevu ?
Niliona picha nikashangaa sana , niliona mpaka Al Jazeera wamepost picha na habari ya kutoa speech nikachukulia masihara , ngoja nikaVerify isijekuwa wamempa usemaji mtu mwingine anaitwa Abu Ubaidah .Shekhe adriz abu ubaydah yupo hai na ametoa speech juzi.
Barua ya iran umeielewa au English ni tatizo?Kwanza iran alishasema kuwa hataki ceasefire maana alichokozwa tunashangaa sasa kwa nini kukubali wakati alichokozwa na viongozi wake wengi tu wanauwawa akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na hawajalipa kisasi chochote.
Sisi Tumia mini tu ni ule Mkwara wa Trump wa kuirudisha Iran Enzi za mawe ndiyo uliosababisha Iran ifyate mkia na kukubali ceasefire na mlango bahari wa Hormuz kuwa wazi watu wajichotee kiwese bila shida!!!