Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kama ameuawa Netanyahu ajiandae kisaikolojia, uzuri Trump alishasema endapo Iran ikimuua ameacha maagizo.. 🤣 🤣
Mkuu sasa niseme nimekubali spirit yako, hukati tamaa. Hata jambo liwe hivi utaleta uongonwa alternative nyingine🙌

Watu kama nyie ndio tulikua tunawataka kwenye mapambano ya oct 29
 
Kitu kimoja mnachopuuzia ni Uwezo wa Mossad na CIA, kujua nini kinaendelea ndani kwa Adui.

Kama ni kweli hii taarifa inaonesha ni kwa namna gani Israel imeenea ndani ya Serikali za Maadui wake
 
Hata successor wake nae is no more

Mossad sio wa kucheza nao
 
Successor aliyekua anaandaliwa ni mojtaba, ambae nae inasemekana ameuwawa
 
Kobazi umebinua mkund* msikitini afu unaanza kutia tia huruma kama mtoto wa kikoma,acha wafia dini wale jeuri yao.hii dunia sio ya kulazimisha watu wafuate Imani zetu za miaka 200 iliyopita.ACHA WATU WAFURAHIE MAISHA YAO MAFUPI KWA KUCHAGUA WAPENDACHO,Kama wakiamua kufuata sheria za dini basi wafuate,wakiamua kuwa wapagani heshimu maamuzi Yao TUSIPANGIANE na kujiona kwamba wengine ni Miungu watu hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…