“Almost all of the various points of past contention have been agreed to between the United States and Iran, but a two week period will allow the Agreement to be finalized and consummated,”.Kuwa hujaelewa kuwa wamepewa proposal ambayo wataenda kujadiliana?
Sijui hata Kama umeelewa kilichomaanishwa hapo“Almost all of the various points of past contention have been agreed to between the United States and Iran, but a two week period will allow the Agreement to be finalized and consummated,”.
Ni mambo gani ambayo karibu yote hawakukubaliana mwanzo wamekubaliana mpaka ceasefire ya wiki mbili kuwekwa ?Sijui hata Kama umeelewa kilichomaanishwa hapo
Hiyo ni paragraph mpya, akimaanisha karibu yale yote waliyokua hawakubaliani mwanzo kwa sasa wamekubaliana kati ya Iran na usa. Hayo ambayo wamekubaliana Sasa ndio kayaweka kwenye message yake ya leo
Kama angekua amakubaliana na hago masharti 10 basi leo kwenye message yake kusingekua na suala la regime change, kusingekua na suala la kutorutubisha uraniuma, kusingekua na suala la kuchukua uranium. Sababu haya yanapinana na walichokua wanataka Iran
Mbona siku zote wanalipa, au ulikua unaishi dunia gani. In fact kwenye 10 point plan demands za Iran ni kuendeleza hiyo tozo kwa kila meli inayopita.Ni lazima ulipe? Huu ndio upotoshaji
1. Mpango wa nuclear uko pale pale.Jibu Swali acha kubwabwaja ovyo ovyo!!!
Yeah alikufa but amekua replaced na mwanae raia wamepoa, ingekua nchi imepinduliwa na utawala wa Ayatollah umetolewa basi hakuna ambaye angeenda mazungumzo.Hata Iran amepoteza Askari wengi na vibgu vya thamani.
Nimeconcentrate na Khamenei sababu alikua kiongozi mkuu pia Iran ilitangaza jihad
"Point 10 za Iran ndio itakua base of Negotiation" matokeo yote ya vita yapo hapa na chochote watachozungumza ni kushusha ama kupandisha hapa.Ni mambo gani ambayo karibu yote hawakukubaliana mwanzo wamekubaliana mpaka ceasefire ya wiki mbili kuwekwa ?
Masharti 10 ya Iran yana mzuia vipi U.S kuweka maoni yake na matamanio yake na yeye katika finalisation ya hiyo agreement wanayo panga ikamilishwe ndani ya hizi wiki mbili ?
Kwanini washindwe bado centrifuge zipo na URANIUM 235 ipo enriched kwa zaidi ya 60% so ana uwezo wa kutengeneza nuclear warhead. Trump ndio maana anazitaka hizo stockpiles zilizo kwenye mahandaki ya chini ya mlima. Kama ingekua hazipo na zinebaki majivu basi wangeshaachana na kuzuia Iran kurudi kwenye vituo vya nuclear walivyoshambulia tokea 2025Haiwezi tena kuunda Nyuklia. Muwege mnatumia akili 🤣🤣🤣.
Ni kwamba hamjui physics hata Google/ChatGPT inawashinda.
Iran walishazingua big-time kukosa nyuklia wakati wanaweza.
Ile vita ya siku 12 ndio ilawamaliza nguvu
Iran now kijeshi imekuwa kama yale makundi ya Kigaidi. Haiwezi kujilinda au kupigana as army.Kwanini washindwe bado centrifuge zipo na URANIUM 235 ipo enriched kwa zaidi ya 60% so ana uwezo wa kutengeneza nuclear warhead. Trump ndio maana anazitaka hizo stockpiles zilizo kwenye mahandaki ya chini ya mlima. Kama ingekua hazipo na zinebaki majivu basi wangeshaachana na kuzuia Iran kurudi kwenye vituo vya nuclear walivyoshambulia tokea 2025
Kuna MTU alikua anasema Ile tweet ya Ceasefire ya Trump aliandikiwa, maana ilikua na maneno ya busara mengi Sana.Kazi kweli kweli View attachment 3569372
Kitu kimoja ninachoona kwa watu mnaoichukia Iran na Israel hamjui Historia ya Iran.Kwanini washindwe bado centrifuge zipo na URANIUM 235 ipo enriched kwa zaidi ya 60% so ana uwezo wa kutengeneza nuclear warhead. Trump ndio maana anazitaka hizo stockpiles zilizo kwenye mahandaki ya chini ya mlima. Kama ingekua hazipo na zinebaki majivu basi wangeshaachana na kuzuia Iran kurudi kwenye vituo vya nuclear walivyoshambulia tokea 2025
Kama haiwezi kwanini Wameshindwa kuifungua Hormuz mpaka majadiliano? Au kwanini wananchi wasingekua wamepindua nchi? Hizo capability za kudungua ndege wamezitoa wapi?Iran now kijeshi imekuwa kama yale makundi ya Kigaidi. Haiwezi kujilinda au kupigana as army
Imetulia na itakua more powerful kuliko awali. Kumbuka wameondolewa vikwazo vya kuuza mafuta pia baada ya ceasefire kuna majadiliano ya kurudishiwa frozen assets basically watakua na pesa kuliko kabla ya vita walipokua na vikwazo vya kiuchumi. Pia kwa sasa raia wako nyuma ya serikali tofauti na kabla ya vita. Kama Iran ilimpoteza Ayatollah na wakuu wengine wa jeshi na serikali na bado haijatetereka basi haitowahi angushwa tena.Kwa hiyo there is no way they nchi yao ukitulia kama ilivyokuwa kabla ya vita ya siku 12.
Si walisema wamelipua 90% ya makombora ya Iran kivipi bado wanarusha kila siku makombora gulf states na Israel bila dalili za kuisha?Marekani na Israel walichokuwa wanakiangalia kwa makini kwa Iran ni makombora yake, yalikuwa yanampa cover
Hakuna kitu huyu alikua kibaraka wa USA asingeweza kuwa na ubavu wa kuanzisha nuclear program yoyote.Mpango wa Nyuklia na Mazungumzo ya Nyuklia ya Iran yalianza Tangu wakati wa mfalme wao na yeye ndio alianzisha na kukataa baadhi ya masharti ya Marekani.
Hii ni excuse tu, Israel ina mpango unaitwa SAMSON OPTION ambao unasema wakipata existential threat (mfano nchi kuvamiwa na kukaribia kuanguka) basi wataachia nuclear warheads ziende kwa sio tu nchi iliyovamia bali kwa mataifa yote makubwa ili wakifa basi wafe na dunia nzima kama samson alivyofanya kwa maadui zake.Tofauti yake na Utawala wa sasa yeye alikuwa anawachukulia wazungu kama washirika na hakuwa na mawazo ya kufuta nchi zingine
Kitu kimoja ninachoona kwa watu mnaoichukia Iran na Israel hamjui Historia ya Iran.
Mpango wa Nyuklia na Mazungumzo ya Nyuklia ya Iran yalianza Tangu wakati wa mfalme wao na yeye ndio alianzisha na kukataa baadhi ya masharti ya Marekani.
Tofauti yake na Utawala wa sasa yeye alikuwa anawachukulia wazungu kama washirika na hakuwa na mawazo ya kufuta nchi zingine
Endelea kujidanganya kijana.Iran now kijeshi imekuwa kama yale makundi ya Kigaidi. Haiwezi kujilinda au kupigana as army.
Kwa hiyo there is no way they nchi yao ukitulia kama ilivyokuwa kabla ya vita ya siku 12.
Marekani na Israel walichokuwa wanakiangalia kwa makini kwa Iran ni makombora yake, yalikuwa yanampa cover
Mbona jioni hii kuna habari nimeipata (japo ni unclarified) kuwa Israel ameishambulia Iran jioni hii!?Iran imeonya kuwa itajitoa kwenye makubaliano ya kusitisha vita iwapo Israel haitasitisha mashambulizi dhidi ya Lebanon.
Asubuhi Iran kashambuliwa na Pia Israel ameshambulia na makombora 100 Lebanon, So Iran wamesema soon wanatoa tamko kuhusu Hilo, pengine vita vinaanza upya mda si mrefu.Mbona jioni hii kuna habari nimeipata (japo ni unclarified) kuwa Israel ameishambulia Iran jioni hii!?