Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran tweeters wanai Netanyahu amededishwa kwenye nyumba yake kwa shambulizi la drone. Wengine wanasema kaheruhiwa.
Kuna ukweli wowote hapa
 
Kawaulize Pakistan pamoja kuwa na nuclear kilitokea nini pale walipogoma kushirikiana na Bush kuhusu vita ya ugaidi hasa kuivamia Afghanistan walipewa onyo gani mpaka Musharaf akafyata mkia.
Mbona kwa N.korea hawakuweza kufanya chochote mwisho wa siku wakaamua waipotezee ? sababu ni kuwa Marekani angemshambulia n.korea na yeye angeshambulia japani au Korea kusini kwa mabomu ya nyuklia.
Hivyo hivyo kwa Irani ikifanikiwa kumiliki silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuishambulia Israeli Marekani kamwe hawezi kuleta chochoko dhidi ya Iran.

Sasa Pakistani hana silaha za nyuklia zenye uwezo wa kufika Marekani yeye ameunda nyuklia kwa ajili ya kujilinda dhidi India tu, na pia haina mshirika wa muhimu wa Marekani karibu na mipaka yake kusema watamtumia kuitisha Marekani hata ikitokea Marekani ikaishambulia Pakistani ni ngumu kwa Pakistani kuidhuru Marekani.
 
Mpaka umri huu na mpaka unajiunga JF bado hujajua chanzo cha hawa makobazi kutandikwa na wababe wa dunia Israel na US? pole sana.
Jibu swali sio kunijadili binafsi mkuu.Wewe unadhani humu ndani Kila mtu anajua sababu ? Wengine ni bendera fuata upepo.
 
Magharibi washa pima upepo Kwa Kiduku na kuona sio mtu wa diplomasia na blabla,hivyo kumchokoza ni kosa la kimkakati na hatosita kufanya lolote.
 
Magharibi washa pima upepo Kwa Kiduku na kuona sio mtu wa diplomasia na blabla,hivyo kumchokoza ni kosa la kimkakati na hatosita kufanya lolote.
Isitoshe N. Korea haina maslahi yeyote Kwa Marekani hata wakisema waivamie. Itakuwa ninkupoteza muda tu...

Khemenei alikuwa kikwazo Cha Maslahi ya Marekani kule Mashariki ya Kati. Pia ufadhili wake Kwa makundi yanayoishambulia Israel mara Kwa mara kulilazimu Hawa Wababe wapambane kummaliza Kwa Gharama yeyote...
 

πŸ˜‚πŸ˜‚
Ushabiki kitu kibaya.

Kwamba kiongozi mkuu na safu ya viongozi watakwe kulengwa na adui?
πŸ˜‚πŸ˜‚
Huoni kuwa ni aibu kiongozi kuuawa kama ngedere yaani kwenye pigo la Kwanza tuu.

Hata Gaddafi alikuwa mwamba maana angalau yeye amekaa kwa muda mrefu. Au Bashad Alsady
 
Huyo mzee miaka 86 ukimuua kuna faida lipi!?
Leo Iran wanafanya uchaguzi wa kiongozi wa kumrithi Khamenei na vita inaendelea pale pale.
 
News updates;
-Iran ipo kwenye kumchagua mrithi wa Khamenei,pia unasemekana Masoud Pezeshkian haieleweki hali yake huwenda wakamchagua rais wa mpito kuendeleza vita.
-Iran imeandaa mpango wa kusogeza askari wake na wanamgambo wake karibia na mipaka ya Israel ili vita.
-Pia inaandaa Makombora ya hypersonic kuanza jihadi ya kulipiza kisasi cha Khamenei.
-Trump anaonya kuwa VITA KWAKE VIMEISHA IRAN ISITHUBUTU KUSHAMBULIA LEO MAANA ITAJIBIWA JIBU KALI.
-Mkondo mkuu wa nchi wa kusambaza na kusafisha maji ya matumizi Israel umelipuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…