Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Beit shemesh watu wengi wamefukiwa na vifusi.
 
Iran kashambulia Cyprus, Iran anaamini anaweza kuanzisha vita ya Dunia🤣
Siku ya jana Marekani alizungumza na Uturuki ili ahamishie vifaa vyake vya kijeshi kutoka mashariki ya kati baada ya kushindwa kuzuia missile za Iran kwenye kambi zake na suala la logistic limeanza kuwa changamoto hapo ME ila Uturuki ilikataa. Mpaka jana saa usiku taarifa za habari zinasema wanafanya mpango wa kuhamishia Cyprus. Nafikiri hilo limefanyika ndiyo maana Iran kapiga.
 
Nafikiri huu ni moja ya mtego Iran aliousema na kuutaka kwamba akishambuliwa itapelekea vita ya kikanda na kinacho endelea ndio huko huko.
Nchi jirani zikijitia kichwa ngumu jeshi la ardhi lita deal nao ama proxies wa Iran.. kumbuka Iran ina proxy wa kutosha hapo middle east.. ndio maana wameona wanaweza kuwamudu hao waarabu wote ambao ni mapandikizi.
 
Wanatuambia iran anapiga hotel tu huko dubai Nyoko sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…