Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

Wafuga Midevu na Majini mnadanganyana sana!!
 
Hata na mimi Nashukuru sana uko umeshuhudia vifo vya makamanda waandamizi katika Jeshi la Iran. Maana ungekuwa umekufa hata sisi tungekuambia ungekataa maana ninyi wafuga Midevu na Majini ni wabishi sana. Naona tu nikuwekee picha zao uwaone na ushangae Makamanda wakuu wa Jeshi kufa siku moja tu vitani!!!
 

Attachments

  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 18
  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 18
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 15
Wanasema safari hii itawachukua 48 hours kuifanya israel iparalaizi
Waajemi wajimarishe kwenye sector ya integrated Air Defense systems zenye layer tatu na ziwe so impregnable kiasi cha kwamba haziwezi kuhujumiwa kirahisi na air to ground missiles au na Drones za aidha Israel au Merikani, kama ndege za mizigo za Urusi zilizo tua hivi karibuni kwenye viwanja vya kijeshi huko nchni Iran kama zilileta S-400 among other things na zikasambazwa kwenye maeneo ambayo Iran au Warusi wanajua ndiyo njia utumiwa mara nyingi na ndege za Israel kuvamia anga la Iran, Iran ikisha install ADS hizo makini basi ndege za Israel zitakuwa makini sana na kuacha kuingia kichwa kichwa kwenye anga la Iran. Maanake ndege za Israel zitakuwa swept out of the sky like flies!!
 
Safari hii kikiumana Ayatollah haponi na niko tayari kubeti kwa Tshs. 1 m lazima akalakiwe na mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
 
Walishindwa kufanya hivyo kwenye vita vya siku 12 ambayo waligaragazwa leo hii wata węża wapi Wafuga Midevu na Majini hao??
 
Kwanini aombe ruhusa kama anajiamini, big powers hawaombi ruhusu, wanaliamsha dude tu....
Hata mimi hilo kidogo limanishangaza, yaani hiyo inanikumbusha tulipo kuwa watoto wadogo mtu akianzisha uchokozi au ugomvi sasa ukiona labda mwenzako anaonekana ana nguvu kuliko wewe, unawambia wezako jamani eeh, ebu nishikeni mikono nisije nikamuhumiza huyu jamaa, kumbe deep down unamwogopa lakini hutaki kuonyesha dhahili dalili za wogo, sasa na Israel ndicho anacho kifanya hicho, kama ana uhakika anaiweza Iran ya nini kuomba ruhusa kwa Trump kwanza, si ufanye pre emptive strike yake yatakayo tokea hapo mbeleni shauri yako na sio unamkimbilia tena Trump kuomba msaada wake maji yakikifika shingoni.
 
Waanze kusafisha ndani yao maana hata zile ADS zilihujumiwa na mamluki wa ndani baadaye ndiyo mashambulizi yakafuatia
 
Wewe kweli zuzu unafikiri Israel nayo ni zuzu kama wewe au unafikiri majeshi ya Israel ni watoto kama wewe??
 
Eti jeshi la Iran linapewa mbinu za kujilinda na @Bakyanagandi kwa hali hiyo kwa nini wasigaragazwe na majeshi ya Israel?
 
Waanze kusafisha ndani yao maana hata zile ADS zilihujumiwa na mamluki wa ndani baadaye ndiyo mashambulizi yakafuatia
Tatizo kubwa nchini Iran ni kwamba kuna raia wengi waliozaliwa na kuishi nchini Iran kama raia kwa miaka nenda rudi lakini asili yao ni Wayahudi hao ndio wanatiwa na Israel kifanya ujasusi na wakati mwingine kuhusishwa kwenye masuala ya Ugaidi mfano kuwauwa wanasayansi wengi wa Iran wauaji ni wao na wala sio MOSSAD, sikatai Mossad imaweza kuwa inahusika kwenye baadhi ya overt na covert operations in Iran lakini asili mia kubwa wahusika ni Wairan wenye damu ya kiyahudi.

Iran ikitaka to nip in the bud tatizo hili basi wa Wairan wenye asili ya Kiyahudi waoreshwa kwenye comprehensive data base mbona hiyo ni rahisi tu majina ya kiyahudi utayatambua kwa surname zao, Iran ikisha maliza zoezi hilo basi iwa round up na kuwambia waende Israel au taifa lolote watakalo taka. lakini wasirudi Iran - bila ya Iran kuchukua hatua kali kama hizo basi wakae wakijua kwamba Israel itakuwa inafanya mbinu za kuwahujumu kila kukicha. Mbona Israel yenyewe iliwalazimisha raia kutoka Ethiopia eti warudi kwao, kwani kuna tatizo gani Iran ikisema Wayahudi nao warudi kwao bila kujali wahusika ni wa uzao wa ngapi.
 
Vita vya majuzi vya siku 12 ulikuwa hujazaliwa wakati Mazayuni wanaomba ceasefire kwa kipigo kitakatifu?

Ayatollah anakwambia katika masuala ya kivita umri wake ni mzee ila roho yake ni kama ya kijana wa miaka 20 anayetamani na asiyeogopa vita.
Wewe ni mpofu wa akili
 
Wewe zuzu ndiyo wa kuwafundisha Iran namna kufanya ulinzi kwenye nchi yao? Ndiyo maana Iran ni dhaifu kijeshi ukilinganisha ni miamba ya IDF Maana washauri ni mazuzu kama @Byakanagandi
 
🤣🤣🤣.huyu dogo anachekesha sana.yaani unaona kabisa kwamba vita na muajemi haiwezi
Anaomba msaada.yani hapo ana maanisha kaka naenda kuchokoza ugomvi nikipigwa njoo unisaidie
 
🤣🤣🤣.huyu dogo anachekesha sana.yaani unaona kabisa kwamba vita na muajemi haiwezi
Anaomba msaada.yani hapo ana maanisha kaka naenda kuchokoza ugomvi nikipigwa njoo unisaidie
muhamadi mwenyewe angekuwepo haiwezi israel😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…