Wanajeshi wa Israel wanafanya kazi vyema sana, nashauri waongezewe mishahara na marupurupu π₯Jamaa sasa hivi wanakula vibikira huko akhera π€£.
Ohooo wale watu ving'ang'anizi watarudisha
π€£Tulizana mbona huwa mnapupa sana tulieni tuliwambia US atak8mbia Red Sea mkawa mnamcheka Yemen mwisho US akapiga magoti.
Israel hawezi kuvumilia kipigo kinacho kuja time itaongea hata USA atachapwa tu sababu yupo kwenye game Iran kisha hakikisha hayo
Bado hujasema mkuu πNimeamini USA ni kama malaya wa Israel, kila itakachoambiwa inafanya hasa akiwepo raisi ms3nge asie na akili kama Trump...
Yaani kaIsrael kanampelekesha US kama mtoto mchepuko/malaya/changudoa...
Hii vita anayeingia gharama za kifedha ni US, US stop being Israel's whore...
Dah ila ww jamaa bhana πIran wanasema USA na Israel wameshirikiana kupiga majumba ya raia pale Tehran na badhi ya sehemu. Wasubiri majibu yetu.
Pia Iran imesema hakuna military area walizo piga ni uwongo tu walicho piga ni Nuclear station moja tena wamerudia tena kuipiga sababu hakuna walicho fanikisha kwenye target ya mwanzo
We mpuuzi kweli kweli, wat wameanza kubondwabondwa we tena unatoa ushuzi gani sijuiVita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Iran wanasema USA na Israel wameshirikiana kupiga majumba ya raia pale Tehran na badhi ya sehemu. Wasubiri majibu yetu.
Pia Iran imesema hakuna military area walizo piga ni uwongo tu walicho piga ni Nuclear station moja tena wamerudia tena kuipiga sababu hakuna walicho fanikisha kwenye target ya mwanzo na wamejaribu kupiga launcher za Missiles kule magharibi ya Iran.
Jambo la msingi unalotakiwa ulijue ni kwamba kuitambua,,kuikubali Israel sio mawazo ya mtu...Ni maandiko ya biblia...Na kama huyakubali...milango ya msikiti iko wazi kwa ajili yako.Nenda kakae na wenziokuiunga mkono Israel kwa mkristo ndo kujitambua basi ni heri niwe Mkristo nisiyejitambua
Watanzania tumefurahi πConfirmed Gen. Hossein Salami kauwawa katika hayo mashambulizi.
Yes ngoja tuone lakini kwa vyovyote hii ni vita itakayoamua nani abaki kwenye ramani dunia kati ya Israel na Iran........Iran haina marafiki wa kufa kupona
China sio rafiki wa kutegemewa.
Urusi ni Mzungu, hawezi kuwa upande wa muajemi akaacha Wazungu wenzake.
Iran kama anaingia vitani aingie kwa kujiangalia yeye kama yeye. Lakini kama ni washirika hao uliowataja hawawezi kumsapoti.
Ngoja tuone.
Inasikitisha..Watanzania tumefurahi π
Watanzania tumefurahi πViongozi wakubwa wa jeshi wameuawa
Let wait and see but Israel amepiga Iran at very high precision.Iran inatakiwa kujibu faster bila kuchelewa kama ilivyoahidi. Walidai wanajua nuclear facilities za Israel zote zilipo KWA taarifa za Siri. Kwa kuchelewa kujibu hata masaa Saba yajayo kitawakuta kilichowakuta waarabu enzi zile misri. Naamini IDF kupitia US wanataarifa zote za Jeshi la Iran