Allah awagonganishe hawa madhalimu na awatoe Waislam katikati yao kwa salama.
Allah azirudishe Iran na occupied Palestine katika mikono ya Waislam.
Allah azinusuru nchi za Kiislam kutokana na vitimbi vya mashia, mazayuni na wasaidizi wao (mazayuni).
Akina khamenei hawawezi hata kujilinda wenyewe halafu wanasema watawalinda wapalestina na kuwanusuru. Yaani watu wanaowakufurisha Maswahaba na Wake za Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) na kuwatukana matusi makubwa makubwa eti ndio waikomboe Al Quds na Masjid Al Aqswa (ambazo zilifunguliwa na kukombolewa na Maswahaba ambao hao mashia wanawatukana).
Allah awaridhie Maswahaba wote wa Mtume.
Muda utaongea..Mkuu, watatoa wapi nguvu hiyo? Kama wameshindwa hata kulinda watu wao muhimu hadi kuuliwa kama inzi ndo wawe na cha kujibu? Ayatollah mwenyewe aliko hana uhakika wa kuendelea kuishi.
Waislamu hawana akili timamu, hadi kitu kinachoonekana kwa macho bado atapinga tuuHuyo anayesingizia kushtukizwa ni mpumbavu achana nae! Ilishatangazwa Israel inajiandaa kuishambulia Iran hadi humu jf thread ziliazishwa juzi USA imefanya evacuation kwenye base zake za Iraq. Halafu anakuja mtu anakuambia wameshtukizwa.
Principle ya vita inasema don't underToka aanze kusema hivyo hadi leo ni miaka mingapi??
Hivi Ayatollah ana elimu gani? Mwenye cv atuwekeeNetanyahu atakuwa amekimbilia kujificha Gaza ajichanganye na Hamas kwa maana mvua inayokwenda kutokea hapo sio poa..
Waarabu kwa propaganda huwawezi, kabla ya Iraq kupigwa ungedhani wana uwezo wa kuipiga dunia yote. Hata wakati kipigo kinaendelea msemaji wa Serikali Al Saaf alikuwa anadanganya watu Saadam anashinda vita.Ila nimejifunza mikwara ni muhimu sana... Miaka yote Iran anapiga Mikwara watu tunajua ni mtu wa Maana kumbe ni Iraq/Syria yenye vinu vya Nyuklia na vikishaharibiwa vyote hatua inayofuata ni kuchochea civil war
Babu Trump hakuna kucheka na magaidi, safi sana babu Trump 😂On April 12th, Trump gave Iran a 60-day ultimatum to reach an agreement on its nuclear program.
Today is day 61
Mkuu, Israel imeonekana imejipanga ila Iran siyo. Netanyahu ametahadharisha huo ni mwanzo. Duniani ogopa adui aliyejipanga.Muda utaongea..
Watu wanavyoshadadia vita humu ndani loh, kwa kuwa sio wao wala ndugu zao watakaouliwa. Halafu Israel wamepiga hadi makazi ya watu, raia wa kawaida wamekufa. Halafu mtu anafurahia kabisa, angekuwa kafa ndugu yako ungefurahi? Na mbaya zaidi hii vita sisi nchi maskini ndo tutaathirika zaidi,lita ya mafuta tutanunua laki. Bei ya mafuta ghafi tayari ishapanda, ila sisi hatuoni hilo tunatambiana sijui Iran mbabe sijui Israel mbabe. Wanateseka raia kwa sababu ya hawa viongozi wa juu wa hizi nchi kutaka kuoneshana ubabe. Watakaopigana ni watoto wa raia wa kawaida, mtoto wa Netanyahu au Ayatollah atakuwa kalindwa huko kwenye ulinzi mkali. Tusifurahie vita jamani, lets wish for peace, vita haijawahi kuwa suluhisho zaidi ya kuwatajirisha wamiliki wa kampuni za kutengeneza silaha.
Ww nae huna akili na ugaidi wenuHuo nilikupa mfano tu, bado mengine huwa yanadondoka beach milio ya hatari inasikika watu wanakimbia na maeneo mbalimbali na hapo bado sijaongelea Promise 1 & 2 za Iran walivyochakaza maeneo ya kijeshi.