Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Iran hakukosa target.
Ali hit target anazotaka.
Ila alitumia unguided missiles.
Awamu hii anatumia highly precision guided missiles tusubirie majibu.
Akaua makamanda na scientist wangpi?
 
Reactions: K11
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Kama hakukimbia kipindi chote hiko sidhan kama atakimbia sasa
 
Reactions: K11
Air defense system ipo na kumefanya kazi yake.
Ila inachosemekana mashambulizi ni kama yametokea ndani ya mipaka sio nje ya mipaka.
Maana ghafla tu wanashangaa mabomu yanalipuka.
Ila Iran has a lot to do . Huwezi ingia vitan na Israel Kisha ukae kizembe. Kama chief is staff anauliwa Ayatollah hajatakiwa kuuawa tu hapo
 
Jambo la msingi unalotakiwa ulijue ni kwamba kuitambua,,kuikubali Israel sio mawazo ya mtu...Ni maandiko ya biblia...Na kama huyakubali...milango ya msikiti iko wazi kwa ajili yako.Nenda kakae na wenzio
Huijui bibilia na hilo ndo tatizo la Wakristo wengi! Kwa bahati mbaya nasafiri vinginevyo ningekupa elimu ya kutosha kwa sababu inaonesha wazi wala hujui maandiko! Hata hivyo nitasema machache kabla sija log-off!

Mungu alimwagiza Abraham aondoke kwenye nchi na aende Kanani, na huko akamwahidi kuufanya uzao wake kuwa taifa kubwa, na kisha akamwambia "Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.โ€

Hata Israel aka Yakobo kupitia Kutoka 28:13-15 nae aliambia
Agano kama hilo aliambiwa pia Isaka baba yake Yakobo! Sasa aya hizo kutoka Agano la Kale ndio watu aina yenu mnapojificha kutetea udhalimu wa wale Wazungu kutoka Ulaya lakini mnashindwa kuioanisha na Maandiko ya Injili huku mkisahau Yesu Kristo ametuambia alikuja kuijazia

Sasa tafakari, uzawa wa Wayahudi wa Judaism ambao ndo hao wanaua watu kila siku wana-fit kwenye hiyo aya wakati dunia yenye watu zaidi 8 Billion akina Netanyahu hawafiki hata 50M? Angewalinda popote waendako wakati mamilioni waliuawa sehemu mbalimbali barani Ulaya? Kuwalinda gani huko? Au na hapo utaleta tena ule uetetezi wa watu wasiosoma biblia kwamba bibilia inatumia lugha ya mafumbo wakati Wagalatia 3:16 inasema wazi
Basi ahadi zilinenwa kwa Abrahamu na kwa mzao wake. Hasemi, Kwa wazawa, kana kwamba ni wengi, bali kana kwamba ni mmoja, Kwa mzao wako, yaani, Kristo!
Mimi dhehebu langu linautambua waraka huo wa Mtume Paul ambao aliutoa kwa Wagalatia! Je, wewe binafsi na dehebu lako linautambua waraka huo wa Paul? Kama mnautambua, na hapo Mtume Paul anatuambia uzao unaozungumzia hapa ni ule wa Kristo, je hawa Zionists wa Ulaya kiimani ni Uzao wa Kristo hadi useme eti bibilia imetuagiza Wakristo kuikubali Israel?

Hapo hapo Mtume Paul aliwaambia Wagalatia 3:7-9
Hivi Genge lililomkana Yesu Kristo hadi sasa linakuwaje kuwa ni wenye imani? Na kama hawana imani yao dhidi ya Kristo wanabarikiwaje pamoja na Abrahamu kiasi cha kutufanya Wakristo wote duniani tuwanyenyekee? Na kwavile Wayahudi wanamfuata Mussa na Wakristo wanamfuta Yesu Kristo, je ni nani ana-fit kwenye andiko "na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa"?. Ni miliki ipi ya Judaism iliyoenea pande zote za dunia?

Hata 1 Peter 4-5 anasema
Ni nani hapo Peter alikuwa anawaambia kama sio Wayahudi? Je, Wayahudi kizazi cha akina Netanyahu waliitikia huo wito ili hatimae wawe nyumba ya kiroho?

Ukiyafahamu hayo na kutafakari kwa kina ndipo utaelewa huwezi kuwa Mteule huku mara kwa mara akiyauka maandiko! Haiwezekani wala kuingia akilini Mungu amlete Mwanae wa pekee Yesu Kristo halafu linatokea genge linamkana na hadi kesho linamkana na kumkashifu kila uchao halafu useme eti Wakristo tumeambiwa tulitii Taifa la Israel! Ni kweli tunatakiwa kulitii lakini sio taifa hili lililomkana Kristo na bado linaendelea kumkana! Ni kwa sababu hiyo ndo maana tukakumbushwa na Warumi 4
Hizo ahadi mnazosema kwa Wana wa Israel misingi yake ndo hiyo hapo! Na imani zinazosemwa hapo zinafungamana moja kwa moja na kumfuata Yesu Kristo lakini sio eti kwavile wewe ni Myahudi basi automatically unakuwa mteule na kukutana na baraka za Mungu! Na kuna aya moja siikumbuki, lakini itafute mwenyewe kwa Warumi inazungumzia jinsi ambavyo Mtume Paulo alikuwa anasikitishwa na ndugu zake kwa kumkana Yesu Kristo. Kwa maana hiyo, hapa wanazungumziwa Wana wa Israel waliompokea Yesu Kristo!

Kwahiyo nyie endeleeni tu kutetea hao madhalimu lakini msisingizie Ukristo kwa maana Ukristo hauna mafungamano na udhalimu! Kwa hizo dhana zenu ni kama mnasema ikitokea Yesu Kristo amerejea leo hii duniani basi atafurahishwa na kile kinachofanywa na akina Netanyau! Na kama mawazo yako ndo hayo, basi ni wewe ndie unaepaswa kutangulia msikitini ukakutane na wapenda udhalimu wenzako lakini sio mimi!
 
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
 
Mkuu, tumia bc ht akili za kawaida tuu
Yn Iran impige USA ๐Ÿ˜‚

Dah kweli mapenzi yamekuweka kuwa kipofu ๐Ÿ˜‚
Kumbe ushabiki huwa unajitoa akili hadi unafikia kiwango cha juu cha ujinga, hadiunaandika vifupi kama mtoto?
 
MWAMBA WA VITA ISRAEL HACHEKI NA WOWOTE...NICHUKUE POPCORN NA JUISI NIVUTE KITI KUONA JINSI IRAN ATAVYOCHACHAFYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ