Umekuwa ukisema 'Israel' ya kina Netanyau sio 'taifa teule' kama baadhi ya watu wanavyodai ila ni kazarian mafia state huenda Kuna ukweli hapa maana ilichokifanya Gaza, Lebanon na inachoanzisha huko Iran hakina jema kwa ulimwengu.Escalation inaweza kutoka,usichukulie jambo hili poa.
Kikobaz kinajifariji na huku kimevaa kipedo na kusugua makalio. Israel imewatia dole gumba. Endeleeni kuinama🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Israel imesema ilitoa taarifa kabla ya kunishambulia IranIsrael yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran
Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran
====
The Israeli military has carried out several strikes targeting Iran’s nuclear facilities and military sites in and around the country’s capital, Tehran, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said.
In a prerecorded video message posted early Friday morning, Netanyahu said the strikes were aimed at hurting Iran’s nuclear infrastructure and ballistic missile factories.
“This operation will take as long as is needed to complete the task of fending off the threat of annihilation against us,” Netanyahu said.
An unnamed Israeli military official told the Reuters news agency that Israel struck “dozens” of nuclear and military targets early on Friday.
Iranian state-run news agency, Nour News, said several “loud explosions” have been reported in and around Iran’s capital. It added that Iran’s air defence system is on full alert, and all flights at Imam Khomeini international airport have been suspended.
The Israeli military also confirmed to The Times of Israel newspaper it had “launched an aerial campaign against Iran’s nuclear programme” in an operation dubbed “Nation of Lions”. The source told the outlet it needed to act against the “imminent threat” posed by Iran.
Iranian state-run media outlet Press TV confirmed that there have been several casualties, without providing a number.
An unnamed Israeli defence official said the strikes have likely killed members of Iran’s general staff, including the chief of staff and several senior nuclear scientists.
Iran supreme leader says Israel will receive 'bitter fate'
Iran supreme leader, Ayatollah Ali Khamenei, says the attacks reveal Israel's "vile nature, Reuters reports, and that with this attack Israel "has prepared a bitter fate for itself, which it will surely receive."
Israel braces for Iran's response
Early reports suggest ‘Operation Rising Lion’ has dealt a significant blow to Iran, with dozens of strikes across the country reportedly killing several senior Iranian military figures and nuclear scientists.
Here in Israel, we were woken up at around 03:00 (01:00 BST) by a burst of sirens followed by a phone alert, warning us of a “significant threat” and instructing us to stay close to a shelter.
Now, the whole country is waiting to see what Iran's response will be.
Clues to that may lie in the last few times the two nations have taken military actions against each other.
Last April, Iran launched about 300 missiles and drones at Israel, which Israel responded to with a “limited” strike on a missile defence system.
Over the following months, Israel went on to assassinate several leading figures from Iranian proxy groups across the region, including Hamas and Hezbollah.
Iran hit back in October by launching about 180 ballistic missiles at Israel - which responded with a series of “targeted” strikes on Iranian military facilities.
Sio kwamba hawezi kuishambulia Iran bali hawezi kuishinda Iran, basi sawa tuseme hadi sasa ni moja bila na mchezo unaendelea au sio!?Tatizo mlikuwa mnawasifia sana Iran wengine mlikuwa mnajiapiza kabisa kuwa Israel hawezi kuishambulia Iran sasa mnajionea wenyewe kipondo alichopigwa!!!
To be honest, huyu nyanya ni mdedri sana due juzi niliona alimpiga Kofi jamaa mmoja ako tilalila.Ooh hugs to mama kibaki, na venye mpoa wa Kenyatta ni msoup!
anazirushaje wakati mifumo yote ipo down imepigwa?Iran hakukosa target.
Ali hit target anazotaka.
Ila alitumia unguided missiles.
Awamu hii anatumia highly precision guided missiles tusubirie majibu.
Ndege Ina uwezo wa kurusha kombora umbali wa 45 miles na target.
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Anayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
Nasikiya bamutu bakongo banasubiri Joseph Kabila awe kiongozi wa repuplique ya goma.Nipo Goma wiki ya tatu sasa ni masasi yanarundima bakongo, bamutu ya huku no wasiwasi.... Hatuna makuta Le papaa ndege
Israel ya sasa inatawaliwa na the Synagogue of Satan Proved,hakuna wasi wasi wowote juu ya hilo.Tunayo-yashuhudia huko Gaza,Lebanon,Syria na possibly Iran ni makafara kwa Mungu wao Molock.Their God is so blood thirst.Umekuwa ukisema 'Israel' ya kina Netanyau sio 'taifa teule' kama baadhi ya watu wanavyodai ila ni kazarian mafia state huenda Kuna ukweli hapa maana ilichokifanya Gaza, Lebanon na inachoanzisha huko Iran hakina jema kwa ulimwengu.
unatoa matakwa Huku kobazi mkuu Ayatollah kajificha na shuka lakeAssalam alleykhum wa rahma tullah wabarakatuh.
Kwa kweli jambo hili ndugu watukufu waislamu tusinyamazie hata kidogo. Hawa jamaa ni kama wametushika makalio baada ya kuona tumeinama.
Wallah wabillah hili suala tuungane na Iran kuwapambania ndugu zetu dhidi ya Mayahudi. Hawa Mayahudi wametupiga vibaya sana na kuua Makamanda na wataalamu wa Nyuklia. Imenishangaza Iran tulikuwa wapi? Ndege 200 za Israel zinaingia na kujivinjali Iran sisi tunafanya nini?
Na hawa Mayahudi toka majuzi walisema watatupiga. Je tuliinama ili tuone kama kweli watafanya hicho kitendo? Sasa wametuingizia kidole...ni dhihaka tena wanawake wao ndo wanafanya hivi. Kuna aibu gani nyingine twataka?
Hili jambo mi limenshtua sana na kunsononesha.si haki wabillah. Si haki.hawa watu wataka tuishi vipi sisi wallah? Walianza na kututia kidole cha machoni sasa waona haitoshi wamekuja huku? Hii si sawa.
Tupambane uwanjani na huku kwenye mitandao. Laanatul lahullah waswahilina buneheh al vitalih bushkeneh natullah.
Tushikamane yahudi ataondoka hapa Duniyan na akhera hatokwenda.
Waisraeli wanathamini maishaSasa ni mda wa Wayahudi kwenda shimoni
Huenda hazipo kabisaMkuu hivi zile air defense systems za Urusi hazikuwa activated licha ya kila dalili kuwa Israel angeshambulia?
Hata Mimi nasikia kakimbilia kwa Mkeo kwa hiyo mpigie simu ajiandae tu!!!!
Waarabu mnegawanyika sana,hamwezi.Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran
Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya Irani huku ikilenga maeneo muhimu na viongozi katika mji wa Tehran. Shirika la Habari la Tasnim la Iran...www.jamiiforums.com