Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Nawakumbusha TU vita sio Kwenye media na siku Moja, Iran sio Syria
 
Bora owe hivyo. Irani anasababisha ukosefu wa amani kwa kufadhili makundi ya kigaidi yanayo fanya uvunjifu wa amani alafu anaambiwa anakua mtata ,
 
Iran kwa sasa ana hali mbaya sana ameshaharibiwa kila sehmu hawezi kurusha hata kijiti na bado anaendelea kupigwa.. pole mkuu
 
Ni ukweli kuwa shambulizi la mwisho la israel kwa iran watu walichukulia poa ila lilikuwa la kimkakati kuwalemaza iran ili israel ajipigie anapotaka.
 
🇺🇸🇮🇱🇸🇾 American fuel tankers are refueling Israeli jets over Syria sky freely without interruption. This is why they wanted regime change in Syria.
Vita ni mipango, sio kurusha fataki tu
 
Baada ya Israel kupambana kukata vichwa vya watoto wa nyoka ambao ni hezbola hamas na houthi sasa ameenda kukakata kichwa cha joka kuu iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…