ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Iran 🇮🇷 siku zote inajibu kwa maneno. Wakuu wa4 wa majeshi wanauliwa siku ya kwanza ya vita hapo kuna majibu!Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Inafanana na kweli mkuu. Kwa sababu utajiri wa mafuta walionao unawezakushinda hata utajiri wa madini na misitu tulionao huku lakini bado wanashindwa kuwadhibiti wazungu.Mkuu tatizo sio umoja tatizo ni akili
Takwimu zinasema waarabu na ngozi nyeusi ndio mijitu yenye low iq
Kwhiyo ukimuona mwarabu ni bora wewe mwafrika
😁😁
Ukraine ilishambulia cruise missile carriers za Urusi, zinazotumika kurusha makombora yanayopiga Ukraine. Ndege kama Tupolev Tu-95.Nipe hizo tofauti mimi sizioni
Hahahahaahah 😃 😃 😃 iran ni wazembe kama Hisbollah yaani siku ya1 viongozi wameuawa wote jeshinivipi tena si kuna muda inasemekana Hezbollah kasema hawezi tena kuishambulia Israel baada ya kuona Baba yake Uchwara anakula kipigo cha uhakika.
Nani kakuambia raia wa Israel wakati ngumu kuliko watanzania?Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Mashambulizi ya Israel kwa Iran leo yameanzia ndani ama nje ya Iran ?Ukraine ilishambulia cruise missile carriers za Urusi, zinazotumika kurusha makombora yanayopiga Ukraine. Ndege kama Tupolev Tu-95.
Israel imeshambulia military command centre iliyotumika kufanya mashambulizi ya makombora kwenda Israel.
Pia Israel imeshambulia makamanda wa Itan waliopanga mashambulizi ya makombora.
Pia preemptively imeshambulia miundombinu ya kinyuklia ambayo Iran inataka kuitumia kutengeneza silaha kuishambulia Israel.
Hahahahaahah 😃 😃 😃 😃 yani huko Madrasa mmeshadanganywa kuwa Israel atapokea kipigo kutoka kwa 🇮🇷 iran??!!!Kuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
Inaonekana hayo mataifa ya kiarabu yanaelewa vizuri sana kwamba Israel kweli ni taifa teule au maana yake ni nini sasa.Tulijua USA yupo hata warabu wapo sa sikia aibu ingine Saud Arabia anangusha pia drones za Iran sio Jordan tu. Ni magazeti ya Israel ndio yanayo ongea.
Israel huwa nasema analindwa na hao viongozi wa kiarabu pia
View: https://youtube.com/shorts/b5WUwlW4qCY?si=XY-a4RIt5wZrUVzK
Labda Hezbollah wa Bunju, hao wa Lebanon walishajifia kitambo maana kichapo walichochezea sidhani kama watarudia tena kurusha makombora yao teehteehteh
Labda Hezbollah wa Bunju, hao wa Lebanon walishajifia kitambo maana kichapo walichochezea sidhani kama watarudia tena kurusha makombora yao teehteehteh
Nigeria ina mafuta pia lakini huwezi ifananisha hata na OmanInafanana na kweli mkuu. Kwa sababu utajiri wa mafuta walionao unawezakushinda hata utajiri wa madini na misitu tulionao huku lakini bado wanashindwa kuwadhibiti wazungu.
Wameuwa wakuu wote wa4 wa majeshi sio kudaiAnaujua mziki wa Iran. Wanajidai wamemuwa chief of staff
Wewe subiri mazishi kama huaminiNimecheka wao ndio wamekianzisha afu wana wasi wasi kweli na kipigo cha Iran. Wanajidai eti wamewauwa viongozi wa Iran wengi kweli hivi unamimini hayo hahaha
Ukraine alikuwa akitangaza ana ua mageneral wa Russia kila siku mwanzo wa vita lakini mpaka leo Russia bado yupo ndani ya nchi ya Ukraine.Iran 🇮🇷 siku zote inajibu kwa maneno. Wakuu wa4 wa majeshi wanauliwa siku ya kwanza ya vita hapo kuna majibu!
Siyo rahisi hivo. Iran anapaswa kutafuta patano la haraka na Rafiki yao wa zamani Israel ambaye alikuwa rafiki yao wa kweli tangu enzi za Uajemi ya Makoreshi. Waachane na misimamo isiyo na tija ya dini ya Arabia. Warudi kwenye asili ya uoendo na Wayahudi. Wakikaza Vuvu Iran ya Ayatollah inaondoka soon.Ingelikuwa ni Iran ndio imemchokoza na kwenda kumpiga Israel hapo ungesikia media zooooote zina laani vikali shambulio hilo. Na ungeona wanasema terrorist attack. Na leo leo UN SEcurity council ingeitwa kikao cha dharura kuona namna ya kumsaidia Israel na kutoa matamko makali.
Ila sasa vita kaanzisha Israel ni mchokozi kabisa wa wazi lakini hutasikia matamko wala nini.
IRAN NAMUAMINIA SANA; MAJIBU YAKE TUNAYASUBIRI KWA HAMU
Huyo SHETANYAHU anaenda kuimaliza rasmi Israel; hiyo Israel inaenda kufutwa kwenye uso wa dunia