Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
We ndio kenge kabisa. Nani ana shida na Uislamu? Mbona Tanzania tunaishi vizuri tu kati ya Waislamu na jamii nyingine? Kwahiyo hao Hezbullah wanapigania Uislamu?Tatizo ambalo litawasumbua ni Uislam ili waishi kwa amani hapo walipo uislamu ufe sasa jiulize kipi kinaweza kufa kati ya Uislam au taifa la Israel? As long Uislam unaendelea kuwepo pale mashariki ni death zone kwa myahudi haijalishi wao ndio wenye nguvu sasa watu wanazidi wana endelea pia kiteknolojia hivyo mambo bado mabichi kabisa haya, it can go through centuries.
Wachambuzi wa habari za vita wanasema kuwa Hezbollah kwa kitendo chao cha kushiriki vita vya Syria kumewajengea mambo 2:-Labda vita vya Syria (Hezbollah pia ilishiriki) huenda vimechangia kuidhoofisha Hezbollah.
Wewe una laana.Allah muweza wa yote kala kona na kuzama chaka baada ya kuwaingiza mkenge.
NETANYAHU DE AKBAR
View attachment 3109285
😅😅😅Sasa ww unateletea hadithi za kusadikika?
Paulo hakuwa myahudi wala hana uhusiano wowote na uyahudi.
Kuna jamaa anasema anaepigana hapo sio Israel ni USA 🤣🤣🤣 kweli Kichapo kimeingia.Zile kelele za sijui israel anamuogopa hezbollah mara hao sio Hamas sijui nyokonyoko wana jeshi kamili wana mabomu zilizokuwa zinatoka madrasa mbona sizisikii tena..huyo ndo mzee Neta bado wale panya wa Houth watajuta
Yaani washindwe kumkamata huyo Jasusi hadi wakanunua Pagers kutoka kwa Israel waje kumkamata leoKwanza mpa mda hu inawezekana kafa au hakufa hamna mtu ana dalili? Pili inawezekana Nasurlah na Hezbullah walisha mchora jasusi anaye toa infomation, wakamuambia tunaenda fanya meeting pale ili awafikishie ujumbe US hapo ndio wamnase tena yupo kwenye cabinet yao kabisa. Na uhakika 💯 in US ndio anapiga sio Israel. Wakisha piga wanamuambia Israel target tulio piga ni Nasurlah ndio Israel anajisifia yeye kapiga.
Si ndio ajabu wanadhani kumua Nasurlah ndio wameshinda vita, hawajui Hezbullah ni chama kuna viongozi wasaidizo na akifa Nasurlah mfano yuko Seif Al Dini au Naim Al Qaseem. Hata hao kama mmoja alikuwa na Nasurlah wako wengine wataendeleza kichapo kama kawaida huko Israel.
We ndio kenge kabisa. Nani ana shida na Uislamu? Mbona Tanzania tunaishi vizuri tu kati ya Waislamu na jamii nyingine? Kwahiyo hao Hezbullah wanapigania Uislamu?
Ebu acha kuandika vitu vya ajabu bwana mdogo na vita hiyo haihusiani na dini
Sawa mie kenge lakini huo ndio ukweli kila silaha anayo rusha hizbollah inatanguliwa na dua na utajo wa Mwenyezi Mungu. Kila statement inayotolewa na wanahabari wa hizbo inaambatana na Aya vilevile kwa hamas na houth na wengineo katika Jihad. Hii kitu uwezi ielewa ukiangalia kwa juu lakin In deep huwezi itnganisha na Uislam abadanWe ndio kenge kabisa. Nani ana shida na Uislamu? Mbona Tanzania tunaishi vizuri tu kati ya Waislamu na jamii nyingine? Kwahiyo hao Hezbullah wanapigania Uislamu?
Ebu acha kuandika vitu vya ajabu bwana mdogo na vita hiyo haihusiani na dini.
Ajibu hajipendi? Hapa anatafutwa yeye.Badala ya Iran kusaidia kujibu mapigo, imemhamisha Ayyatollah kwenda kwenye eneo la usalama zaidi.
Dua wanamuomba nani? Huyo Mungu wao hawezi watetea na wanapigwa wote na magaidi wake?Sawa mie kenge lakini huo ndio ukweli kila silaha anayo rusha hizbollah inatanguliwa na dua na utajo wa Mwenyezi Mungu. Kila statement inayotolewa na wanahabari wa hizbo inaambatana na Aya vilevile kwa hamas na houth na wengineo katika Jihad. Hii kitu uwezi ielewa ukiangalia kwa juu lakin In deep huwezi itnganisha na Uislam abadan
Someone poked the bear!Sasa Israel anaamua nani aingie Lebanon au asiingie. Mamlaka za Lebanon ni kutii tu hamna mamna
Lebanon’s airport denies entry to Iranian plane
Lebanon’s National News Agency reports that the country’s Minister of Public Works and Transport Ali Hamieh instructed Beirut’s airport to ask an Iranian plane heading there not to enter Lebanese airspace and not to land.
Israel has said its warplanes are patrolling the area near Beirut’s airport to make sure it is used for “civilian purposes only”, in an implicit threat to bomb it.
During the 2006 war, Israeli forces bombed the Beirut airport.
Limsingi Netanyahu Diddy yupo sahihi. Waarabu wanatakiwa uwe kichaa kama anavyofanya Netanyahu Diddy lasivyo wangemsumbua sana.Waarabu na Waislamu wananyukwa kweli hadi wanatia huruma 🤣.
Nasikia anaetoa Kichapo ni USA sio IsraelWaarabu na Waislamu wananyukwa kweli hadi wanatia huruma 🤣.
Aliekwambia yahudi anaupigania ukristo nani? Nyie wakristo wa kibaha kwa mfipa kumbe ndio maana mnamshabikia yahudi kumbe mnajua anawapiganiaKwenye usaliti huo hawakosekani walebanon wakiristo
Waliua 1,200 mpaka leo wameuawa 40,000 and counting.Kisasi hapo sio kuua raia wa kiyahudi bali ni kumpoteza Mzee Benja mwenyewe.
Hii ni hatua nyepesi sana kwa wazee wa mabikraa72😝😝😝
Hahahaa.Naangalia live coverage kupizia Aljazeera Kuna maandishi mekundu yanapita hapa chini wanasema
" Iranian supreme leader has been taken to safe place as IDF bombs Hizbullah "