Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
We ndio kenge kabisa. Nani ana shida na Uislamu? Mbona Tanzania tunaishi vizuri tu kati ya Waislamu na jamii nyingine? Kwahiyo hao Hezbullah wanapigania Uislamu?Tatizo ambalo litawasumbua ni Uislam ili waishi kwa amani hapo walipo uislamu ufe sasa jiulize kipi kinaweza kufa kati ya Uislam au taifa la Israel? As long Uislam unaendelea kuwepo pale mashariki ni death zone kwa myahudi haijalishi wao ndio wenye nguvu sasa watu wanazidi wana endelea pia kiteknolojia hivyo mambo bado mabichi kabisa haya, it can go through centuries.
Ebu acha kuandika vitu vya ajabu bwana mdogo na vita hiyo haihusiani na dini.
