Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Tatizo ambalo litawasumbua ni Uislam ili waishi kwa amani hapo walipo uislamu ufe sasa jiulize kipi kinaweza kufa kati ya Uislam au taifa la Israel? As long Uislam unaendelea kuwepo pale mashariki ni death zone kwa myahudi haijalishi wao ndio wenye nguvu sasa watu wanazidi wana endelea pia kiteknolojia hivyo mambo bado mabichi kabisa haya, it can go through centuries.
We ndio kenge kabisa. Nani ana shida na Uislamu? Mbona Tanzania tunaishi vizuri tu kati ya Waislamu na jamii nyingine? Kwahiyo hao Hezbullah wanapigania Uislamu?

Ebu acha kuandika vitu vya ajabu bwana mdogo na vita hiyo haihusiani na dini.
 
Labda vita vya Syria (Hezbollah pia ilishiriki) huenda vimechangia kuidhoofisha Hezbollah.
Wachambuzi wa habari za vita wanasema kuwa Hezbollah kwa kitendo chao cha kushiriki vita vya Syria kumewajengea mambo 2:-
1. Kukomaa zaidi kijeshi na kujipatia uzoefu na mbinu kali za medani kwenye mapigano ya kivita.
2. Kuimarisha mahusiano ya Urafiki na Undugu na nchi ya Syria
 
Sasa Israel anaamua nani aingie Lebanon au asiingie. Mamlaka za Lebanon ni kutii tu hamna mamna​

Lebanon’s airport denies entry to Iranian plane​

Lebanon’s National News Agency reports that the country’s Minister of Public Works and Transport Ali Hamieh instructed Beirut’s airport to ask an Iranian plane heading there not to enter Lebanese airspace and not to land.
Israel has said its warplanes are patrolling the area near Beirut’s airport to make sure it is used for “civilian purposes only”, in an implicit threat to bomb it.
During the 2006 war, Israeli forces bombed the Beirut airport.
 
Sasa ww unateletea hadithi za kusadikika?
Paulo hakuwa myahudi wala hana uhusiano wowote na uyahudi.
😅😅😅
Broo una elimu kweli wewe? Usikute naongea na mtu hajaenda hata shule
 
Zile kelele za sijui israel anamuogopa hezbollah mara hao sio Hamas sijui nyokonyoko wana jeshi kamili wana mabomu zilizokuwa zinatoka madrasa mbona sizisikii tena..huyo ndo mzee Neta bado wale panya wa Houth watajuta
Kuna jamaa anasema anaepigana hapo sio Israel ni USA 🤣🤣🤣 kweli Kichapo kimeingia.
 
Kwanza mpa mda hu inawezekana kafa au hakufa hamna mtu ana dalili? Pili inawezekana Nasurlah na Hezbullah walisha mchora jasusi anaye toa infomation, wakamuambia tunaenda fanya meeting pale ili awafikishie ujumbe US hapo ndio wamnase tena yupo kwenye cabinet yao kabisa. Na uhakika 💯 in US ndio anapiga sio Israel. Wakisha piga wanamuambia Israel target tulio piga ni Nasurlah ndio Israel anajisifia yeye kapiga.

Si ndio ajabu wanadhani kumua Nasurlah ndio wameshinda vita, hawajui Hezbullah ni chama kuna viongozi wasaidizo na akifa Nasurlah mfano yuko Seif Al Dini au Naim Al Qaseem. Hata hao kama mmoja alikuwa na Nasurlah wako wengine wataendeleza kichapo kama kawaida huko Israel.
Yaani washindwe kumkamata huyo Jasusi hadi wakanunua Pagers kutoka kwa Israel waje kumkamata leo
 
We ndio kenge kabisa. Nani ana shida na Uislamu? Mbona Tanzania tunaishi vizuri tu kati ya Waislamu na jamii nyingine? Kwahiyo hao Hezbullah wanapigania Uislamu?

Ebu acha kuandika vitu vya ajabu bwana mdogo na vita hiyo haihusiani na dini

We ndio kenge kabisa. Nani ana shida na Uislamu? Mbona Tanzania tunaishi vizuri tu kati ya Waislamu na jamii nyingine? Kwahiyo hao Hezbullah wanapigania Uislamu?

Ebu acha kuandika vitu vya ajabu bwana mdogo na vita hiyo haihusiani na dini.
Sawa mie kenge lakini huo ndio ukweli kila silaha anayo rusha hizbollah inatanguliwa na dua na utajo wa Mwenyezi Mungu. Kila statement inayotolewa na wanahabari wa hizbo inaambatana na Aya vilevile kwa hamas na houth na wengineo katika Jihad. Hii kitu uwezi ielewa ukiangalia kwa juu lakin In deep huwezi itnganisha na Uislam abadan
 
Dua wanamuomba nani? Huyo Mungu wao hawezi watetea na wanapigwa wote na magaidi wake?

Pale hapahusiani na Uislamu mkuu. Pole.
 
Sasa Israel anaamua nani aingie Lebanon au asiingie. Mamlaka za Lebanon ni kutii tu hamna mamna​

Lebanon’s airport denies entry to Iranian plane​

Lebanon’s National News Agency reports that the country’s Minister of Public Works and Transport Ali Hamieh instructed Beirut’s airport to ask an Iranian plane heading there not to enter Lebanese airspace and not to land.
Israel has said its warplanes are patrolling the area near Beirut’s airport to make sure it is used for “civilian purposes only”, in an implicit threat to bomb it.
During the 2006 war, Israeli forces bombed the Beirut airport.
Someone poked the bear!
 
Kisasi hapo sio kuua raia wa kiyahudi bali ni kumpoteza Mzee Benja mwenyewe.

Hii ni hatua nyepesi sana kwa wazee wa mabikraa72😝😝😝
 
Naangalia live coverage kupitia Aljazeera Kuna maandishi mekundu yanapita hapa chini wanasema
" Iranian supreme leader has been taken to safe place as IDF bombs Hizbullah "
 
Attachments

  • IMG_20240928_141032_840.jpg
    IMG_20240928_141032_840.jpg
    440 KB · Views: 2
Kisasi hapo sio kuua raia wa kiyahudi bali ni kumpoteza Mzee Benja mwenyewe.

Hii ni hatua nyepesi sana kwa wazee wa mabikraa72😝😝😝
Waliua 1,200 mpaka leo wameuawa 40,000 and counting.
Lebanon wameua 500 tayari
 
Naangalia live coverage kupizia Aljazeera Kuna maandishi mekundu yanapita hapa chini wanasema
" Iranian supreme leader has been taken to safe place as IDF bombs Hizbullah "
Hahahaa.

Hakuna cha safe place wala nini.

Kama Israel walikila kichwa cha Haniya [or whatever his name was], basi hata wakikitaka kichwa cha Ayatollah watakipata tu, tena kiurahisi sana.

Kusema ukweli Wakristo na Wayahudi ni akili kubwa mno.
 
Back
Top Bottom