Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Hujui kitu wewe, Israel ni zaidi ya wote hao na uzuri hata wenyewe wanakiri sasa wewe mla ugali na kisamvu unabisha kama nani.
Wewe unajua nini! Bata mkubwa.
Wao wanasaidiwa kila kitu na bila hao wafadhili wao hawana lolote.
 
Hivi unajua kisa cha mzozo wa Israel na waarabu sio dini!?
Hivi unajua wakristo wenzako Israel wananyanyasika kuliko waislam wa kiarabu!?
mzozo wa isrsael na palestina ni al aqsa
 
Kuwa rabbi siyo issue,mbona kipozeo ni sheikh lakini siyo msaudia!?..historia haianzii kwa benzion,baba yake netanyahu bali kwa babu yake mileikowsky mzaliwa wa ukraine, benzion hakuzaliwa israel,na aliweka ubin wa netanyahu baada ya kuvamia palestine 1940s, israel kuna sehemu inaitwa netanya
 
Wewe mwenyewe umeanzia kwenye tone la manii hadi umezaliwa kama nyau na baadaye kuwa bonge la jitu sasa Mungu huyohuyo atashindwa vipi kumrudisha katika umbo lake la kibinadamu kama alivyokuwa!
 
Sasa wamuwahishe na bwana yahaya naye aende kwa mabikira wapatao 72
 
Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon wakiristo
Ujinga ndio huwa unawaponza, katunguliwa mtu Iran huko nako kuna ukristo mwingi??

Lebanon Wakristo ni wengi sana lakini haimaanishi ndio chanzo, achana na kitu kinachoitwa intelejensia

Mtu anakuzwa kuanzia utotoni kuja kuchota taarifa na hamna habari mnaona mtu kazaliwa tunamuona akicheza hapo mtaa wa pili mkidhani mwenzenu
 
Ukisikia ubishi ndio hu sasa; sheikh anaweza kua mtu wa taifa lolote duniani, hata Mchina same as askofu BUT kuna RABI au mwalimu wa Judaism ambaye sio Myahudi/Muisrael hapa duniani? Nitajie mmoja bro tofauti na mzee Netanyahu.
Anyway, let me put this way, ukiwauliza watu wengi kuhusu historia ya Wayahudi, wote wataanzia mwaka 1948, kwamba Wazungu kadhaa walipelekwa pale na Marekani; same people ukisoma comment zao kuhusu dini yao, watakwambia Wayahudi walimuua Myahudi mwenzao aitwaye Yesu hapo hapo Israeli. Hivi hizo statement mbili si zinaji contradict?
 
aasa
Wewe unajua nini! Bata mkubwa.
Wao wanasaidiwa kila kitu na bila hao wafadhili wao hawana lolot

Wewe unajua nini! Bata mkubwa.
Wao wanasaidiwa kila kitu na bila hao wafadhili wao hawana lolote.
sasa kwa nini na waarabu nao wasisaidiwe ili wawe na lolote?
kama hujui iran anasaidiwa na urusi china na north korea, silaha zote za iran ni copy paste ya urusi yeye hakuna silaha ambayo amewahi tengeneza..scientist wote wa iran wamesomea urusi..
 
Mbona hapa unaonekana wazi mpuuzi ni wewe!

Google vyombo vyote vikubwa habari, vimeripoti, na hezbollah wamethibitisha kuwa kiongozi wao mkuu ameteketezwa. Na hakuwa pekee yake, bali pia makamanda baadhi wa Hezbollah na jeshi la Iran.
Wewe ni mpuuzi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…