Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Hujui kitu wewe, Israel ni zaidi ya wote hao na uzuri hata wenyewe wanakiri sasa wewe mla ugali na kisamvu unabisha kama nani.
Wewe unajua nini! Bata mkubwa.
Wao wanasaidiwa kila kitu na bila hao wafadhili wao hawana lolote.
 
Nimesoma uzi wote pamoja na kusoma michango kadhaa ya watu mstari kwa mstari, wengine wana mahaba ya dini, wengine chuki, wengine nimeona wana andika wasivo viamini nk, nimejikuta na comment kwako. Sio kweli kwamba baba yake Netanyahu sio Mu Israeli, baba yao mzee Netanyahu ni mzaliwa wa hapo hapo mashariki ya kati na alikua moja ya marabi wa Kiyahudi (kwa huku kwetu RABI tungemwita askofu au kadhi kwa Waislam) Rabi huyu alikua anasafiri kwenda mataifa mbalimbali yenye Wayahudi wengi including hiyo Poland ulioitaja, alikua anakwenda sana USA kwa kazi hiyo ya kuwafundisha Wayahudi kuhusu dini yao ya Judaism ✡️, alibarikiwa kuzaa watoto kadhaa, maarufu wapo 2, huyu waziri mkuu wa sasa na kaka yake aliyekua anaitwa Jonathan ambaye aliongoza ile the 90 minutes in Entebbe Uganda mwanzoni mwa miaka ya 70; kama kawaida ya wazee wa Kiyahudi wa miaka hiyo walikua wanaona fahari sana moja kati ya watoto wao wa kiume kua mwana jeshi, kama ilivokua hapa kwenye miaka ya nyuma kwa Wakulya wa mkoa wa Mara. Nimesahau kidogo, kati ya Benjamin na Jonathan mmoja wao kazaliwa hapo hapo mashariki ya kati while mwingine alizaliwa USA baba yao akiwa ziarani kwa mafundisho ya kidini. I just wanted to put clear history of this family.
Kuwa rabbi siyo issue,mbona kipozeo ni sheikh lakini siyo msaudia!?..historia haianzii kwa benzion,baba yake netanyahu bali kwa babu yake mileikowsky mzaliwa wa ukraine, benzion hakuzaliwa israel,na aliweka ubin wa netanyahu baada ya kuvamia palestine 1940s, israel kuna sehemu inaitwa netanya
 
Wewe mwenyewe umeanzia kwenye tone la manii hadi umezaliwa kama nyau na baadaye kuwa bonge la jitu sasa Mungu huyohuyo atashindwa vipi kumrudisha katika umbo lake la kibinadamu kama alivyokuwa!
 
Israel imethitibisha kumuua kiongozi mkuu wa kundi la kishia la Lebanon Hassan nasralaah wa Hezbollah kufuatia mashambulizi makali ya ndege za kivita za Israel apo Jana jijini Beirut Lebanon,
Apo Jana Israel ilishambulia target zaidi ya 140 apo Beirut Kwa ndege zake za jet za kivita,
Hezbollah leo jioni IMESEMA ni kweli kiongozi wao wa muda mrefu Hassan nasralaah ameuwawa apo Jana,
Hezbollah pia IMESEMA ipo tayari kuingia vitani vita vya ardhini na Israel kujibu mapigo.
Sasa wamuwahishe na bwana yahaya naye aende kwa mabikira wapatao 72
 
Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon wakiristo
Ujinga ndio huwa unawaponza, katunguliwa mtu Iran huko nako kuna ukristo mwingi??

Lebanon Wakristo ni wengi sana lakini haimaanishi ndio chanzo, achana na kitu kinachoitwa intelejensia

Mtu anakuzwa kuanzia utotoni kuja kuchota taarifa na hamna habari mnaona mtu kazaliwa tunamuona akicheza hapo mtaa wa pili mkidhani mwenzenu
 
Kuwa rabbi siyo issue,mbona kipozeo ni sheikh lakini siyo msaudia!?..historia haianzii kwa benzion,baba yake netanyahu bali kwa babu yake mileikowsky mzaliwa wa ukraine, benzion hakuzaliwa israel,na aliweka ubin wa netanyahu baada ya kuvamia palestine 1940s, israel kuna sehemu inaitwa netanya
Ukisikia ubishi ndio hu sasa; sheikh anaweza kua mtu wa taifa lolote duniani, hata Mchina same as askofu BUT kuna RABI au mwalimu wa Judaism ambaye sio Myahudi/Muisrael hapa duniani? Nitajie mmoja bro tofauti na mzee Netanyahu.
Anyway, let me put this way, ukiwauliza watu wengi kuhusu historia ya Wayahudi, wote wataanzia mwaka 1948, kwamba Wazungu kadhaa walipelekwa pale na Marekani; same people ukisoma comment zao kuhusu dini yao, watakwambia Wayahudi walimuua Myahudi mwenzao aitwaye Yesu hapo hapo Israeli. Hivi hizo statement mbili si zinaji contradict?
 
aasa
Wewe unajua nini! Bata mkubwa.
Wao wanasaidiwa kila kitu na bila hao wafadhili wao hawana lolot

Wewe unajua nini! Bata mkubwa.
Wao wanasaidiwa kila kitu na bila hao wafadhili wao hawana lolote.
sasa kwa nini na waarabu nao wasisaidiwe ili wawe na lolote?
kama hujui iran anasaidiwa na urusi china na north korea, silaha zote za iran ni copy paste ya urusi yeye hakuna silaha ambayo amewahi tengeneza..scientist wote wa iran wamesomea urusi..
 
Mbona hapa unaonekana wazi mpuuzi ni wewe!

Google vyombo vyote vikubwa habari, vimeripoti, na hezbollah wamethibitisha kuwa kiongozi wao mkuu ameteketezwa. Na hakuwa pekee yake, bali pia makamanda baadhi wa Hezbollah na jeshi la Iran.
Wewe ni mpuuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom