Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

irana alijua yeye alone anaweza kupambana na myahudi ila kaona mmh huu mziki sio wenyewe asee sasa anaomba msaada kwa waislam wengine mwanzo si alijifanya kidume?
 
irana alijua yeye alone anaweza kupambana na myahudi ila kaona mmh huu mziki sio wenyewe asee sasa anaomba msaada kwa waislam wengine mwanzo si alijifanya kidume?
Iran kuita wito wa mataifa mengine ni kuwaamsha waamke.
Israel ina ushirikiano na allies wake USA,UK,Germany, France,Canada.
Sasa waislam na wao wanakwama wapi badala ya kuwa na umoja kama Israel na wenzake!??
Kama waarabu wangekua na umoja leo hii Israel hapo ingetia adabu.
 
Shida ya wanywa kahawa hawana reasoning
 
Mbona unajichanganya. Kwakukusaidia nenda kasome kitabu cha wayahud halafu usome Quran ndio utajua vilivyo mbingu na ardhi.
 
Mkuu nimekubali andishi lako kumbe hata USA anaitegemea Israel kwa technology.
 
Mbona unajichanganya. Kwakukusaidia nenda kasome kitabu cha wayahud halafu usome Quran ndio utajua vilivyo mbingu na ardhi.
Najichanganya nini?.. uislam na uyahudi zote monotheistic religion,zinaruhusu polygamy,udhu,kuchinja mnyama kutokula vibudu, nguruwe haram.. tofauti na dini yako zao la upagani
 
Najichanganya nini?.. uislam na uyahudi zote monotheistic religion,zinaruhusu polygamy,udhu,kuchinja mnyama kutokula vibudu, nguruwe haram.. tofauti na dini yako zao la upagani
Uislamu ni ushetan bab sema hawajakufungua. Huwez kusilimisha majin wewe. Ninabii gan kwenye historia aliwah fanya huo ushetan nikuulize
 
Uislamu ni ushetan bab sema hawajakufungua. Huwez kusilimisha majin wewe. Ninabii gan kwenye historia aliwah fanya huo ushetan nikuulize
Majini yaliumbwa na Mungu kabla yako,hata yesu alijua kuwasiliana nayo ndiyo maana aliweza kuyatimua,jini ana utashi kama wewe,wa kufanya mema na maovu
 
Hao ni kobaz
 
Ni wazi kuwa Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa mda mrefu Africa na Duniani kwa ujumla.
Pia tuna viongozi imara wenye Mbinu bora sana kama Makonda, Gwajina, Hamisi Tale na wengineo ambao kwa namna moja au nyingine wangeweza kuliwezesha jahazi la Hezbollah lisizame.

Unakaribishwa kwa maoni zaidi. Ahsante!​
 
Bora wamteue maza ili Israel walale Naye mbele ili sisimizi wasiuliwe tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…